Mtoto miaka 2.3 haongei

Mtoto miaka 2.3 haongei

DAVID PALMER

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2020
Posts
323
Reaction score
1,625
Habari,

Mtoto wangu ana miaka 2.3 anaenda 2.4 haongei, nashindwa elewa hii ni hali ya kawaida au kuna tatizo. Alipokua mchanga tuliona ulimi kile kidude cha chini nadhan wanaita udata kama kikubwa tukashauriwa tumpeleke hosp wakakate.

Tumeenda Rabininsia specialist akamcheki akasema hiki hakina shida muacheni tuu ataongea but napata wasiwasi how comes haongei.

Anatamka maneno yasioeleweka, ila maneno yale ni yasioinua ulimi. bababababa, papapapapaa, rarararaaaa hayo ndo maneno yake, neno pekee analoweza ongea ni mma. (maji).

Naomba ushauri, nimsikilizie au nichukue hatua?
 
Habari
mtoto wangu ana miaka 2.3 anaenda 2.4 haongei. nashindwa elewa hii ni hali ya kawaida au kuna tatizo. alipokua mchanga tuliona ulimi kile kidude cha chini nadhan wanaita udata kama kikubwa. tukashauriwa tumpeleke hosp wakakate. tumeenda

naomba ushauri, nimsikilizie au nichukue hatua?//
Hicho kidude ndio kinafanya ulimi usinyanyuke akitaka kuongea. Ukimuacha hivo atafikisha miaka saba anaongea kama mtoto. Ushauri wangu mpelekeee hospital nyingine wamkate
 
Habari,

Mtoto wangu ana miaka 2.3 anaenda 2.4 haongei, nashindwa elewa hii ni hali ya kawaida au kuna tatizo. Alipokua mchanga tuliona ulimi kile kidude cha chini nadhan wanaita udata kama kikubwa tukashauriwa tumpeleke hosp wakakate...
Awe anashinda na watoto wenzake mara kwa mara asiwe mtoto wa kufungiwa ndani.
 
Back
Top Bottom