A air force1 Member Joined Feb 9, 2014 Posts 24 Reaction score 1 Feb 15, 2014 #1 msaada jaman mtoto anatokwa na mapele kila mara mengine makubwa km jipu uchungu. hosptal akipewa dawa yanaisha baada ya mda yanatokea mengine
msaada jaman mtoto anatokwa na mapele kila mara mengine makubwa km jipu uchungu. hosptal akipewa dawa yanaisha baada ya mda yanatokea mengine
The Don JF-Expert Member Joined Dec 2, 2011 Posts 3,499 Reaction score 1,174 Feb 15, 2014 #2 Mwogeshe na tetmosol itasidia
Pastor Achachanda JF-Expert Member Joined May 4, 2012 Posts 3,023 Reaction score 1,317 Feb 16, 2014 #3 air force1 said: msaada jaman mtoto anatokwa na mapele kila mara mengine makubwa km jipu uchungu. hosptal akipewa dawa yanaisha baada ya mda yanatokea mengine Click to expand... Mtafute huyu anauza sabuni za avocado kwa matatizo yote ya ngozi 0765608067
air force1 said: msaada jaman mtoto anatokwa na mapele kila mara mengine makubwa km jipu uchungu. hosptal akipewa dawa yanaisha baada ya mda yanatokea mengine Click to expand... Mtafute huyu anauza sabuni za avocado kwa matatizo yote ya ngozi 0765608067
Baba Joseph17 JF-Expert Member Joined Jul 15, 2013 Posts 9,518 Reaction score 9,806 Feb 16, 2014 #4 Avocado itaponyaje infection iliyomo ndani ya damu, badala ya kumshauri aende kwa watalaam u wa magonjwa ya watoto unamshauri sabuni ninyi mnafikiria biashara tu. Pastor Achachanda said: Mtafute huyu anauza sabuni za avocado kwa matatizo yote ya ngozi 0765608067 Click to expand...
Avocado itaponyaje infection iliyomo ndani ya damu, badala ya kumshauri aende kwa watalaam u wa magonjwa ya watoto unamshauri sabuni ninyi mnafikiria biashara tu. Pastor Achachanda said: Mtafute huyu anauza sabuni za avocado kwa matatizo yote ya ngozi 0765608067 Click to expand...
Baba Joseph17 JF-Expert Member Joined Jul 15, 2013 Posts 9,518 Reaction score 9,806 Feb 16, 2014 #5 Nakushauri uende kwa madaktari bingwa wa maogojwa ya watoto, achana na habari za sabuni kwani mwanao atakuwa na maambukizi katika damu yake. air force1 said: msaada jaman mtoto anatokwa na mapele kila mara mengine makubwa km jipu uchungu. hosptal akipewa dawa yanaisha baada ya mda yanatokea mengine Click to expand...
Nakushauri uende kwa madaktari bingwa wa maogojwa ya watoto, achana na habari za sabuni kwani mwanao atakuwa na maambukizi katika damu yake. air force1 said: msaada jaman mtoto anatokwa na mapele kila mara mengine makubwa km jipu uchungu. hosptal akipewa dawa yanaisha baada ya mda yanatokea mengine Click to expand...