Pole kwa malezi dada, ila ulitakiwa huyo wa kwanza alipofikisha 1yr umwachishe kunyonya ili na mwenzake aweze kupata kunyonya vzr pia kulinda afya yako. Hao wanaoshangaa hata huku kwetu wapo na hapo hapo ukute wana watoto wamewapanga, kila mtu na malengo yake wengn wamechelewa kuzaa sababu ya masomo, changamoto za uzazi nk so wanaona bora waunge then wapumzike, wengn wanataka walee mapema then waanze mambo mengine. Hakuna principal hapo,wasikariri
Sent using
Jamii Forums mobile app