Mtoto kufundishwa uchawi

Mtoto kufundishwa uchawi

Nyatyo

Member
Joined
Sep 21, 2017
Posts
89
Reaction score
78
Habari wakuu kwa mtoto miaka 5 kushuka chini je ni mambo gani yanaweza kuonesha kua anafundishwa uchawi.

Labda nuliweke hivi ; ni mambo gani akiyafanya mtoto yanaonesha kua huyu mtoto anafundishwa uchawi?
 
Unakakuta katoto ka umri kama huo kako na kadi ya CCM eti kanaitwa Chipukizi, si ndio vichawi vyenyewe hivi?
 
Itakuwa wewe Unakaa maeneo haya, MBAGALA, TANDALE, MANZESE MIDIZINI, MWANANYAMALA KISIWANI, MAGOMENI KWA BIBI NYAU KWA KULE BONDENI AU TABATA BARAKUDA. Hama Kama Unakaa hayo maeneo wanakufundisha upuuzi.
 
Ukiwa na third eye utaona huwa wanakuwa na alama kwenye paji la uso.....
Lakini kama n mwenzangu na mm, mfatilie kwenye maongez yake,,, kwasabb mtoto anayefundishwa uchawi huwa anapitia changamoto ya kutotunza siri mpk hapo atapokomaa....... Kwahy kile kipindi wakiwa wanamzoesha kumchukua usiku na kumrudisha, yeye atakuwa anatoboa siri kwa wenzake

Mfano: 1. atasema flani huwa ananichukua usiku
2. Jana tulikula nyama
3. Tulicheza ngoma n.k
 
Ni mdogo mkuu na hajajua kuongea vizuri hata kuunganisha maneno yaani amechelewa kuongea
 
Hakuna uchawi , hizo ni imani za kishamba na zimepitwa na wakati .
 
Ni mdogo mkuu na hajajua kuongea vizuri hata kuunganisha maneno yaani amechelewa kuongea
Basi fanya hv.... Kama wewe ni mkristo anza kumpeleka kwenye maombi, na Kama ni muislam mpeleke kwenye Dua, Kama ni mpagani mpeleke kwa mganga🤝

Pote hapo utapata msaada ila kwa Msikitini au kanisani n best zaidi
 
Habari wakuu kwa mtoto miaka 5 kushuka chini je ni mambo gani yanaweza kuonesha kua anafundishwa uchawi.

Labda nuliweke hivi ; ni mambo gani akiyafanya mtoto yanaonesha kua huyu mtoto anafundishwa uchawi?
Mtoto kutokuwa muoga yaani haogopi wadudu hasa nyoka..ogopaaaa
 
Back
Top Bottom