Mtoto kuanza kuota meno ya juu

Mtoto kuanza kuota meno ya juu

SHINYAKA

Member
Joined
Oct 6, 2010
Posts
74
Reaction score
39
JF Doctors nauliza, je! Yana matatizo kiafya? Maana yamesemwa mengi, mengine yanatisha. Kwenu wataalamu wa Afya!!
 
Usiamini yote yanasemwa, tuliambiwawmama mjamzito akila mayai atazaa mtoto asiye na nywele
 
Back
Top Bottom