Mkuu vitu vingine ongeaga na mkeo tu nyumbani,naona leo umeingia shift za usiku,Ktk pita pita:Nilikuwa napata soda ktk kona moja,katokea mtoto anaelekea wa shule ya kayumba...kwani kabeba mpira wa kufuma mwenyewe, kwapani na fagio.Kabla hajaingia uchochoroni,kuelekea nyuma panpoelekea maji machafu..akasimama msikiliza Lissu..huku akinipa "shikamoo yangu".Nikamwitikia nikampatia pipi kadhaa nilizokuwa nazo.Akaniuliza kwanini CCM wanakubali CDM wachague timu ya mastaa wote halafu wao wabaki na wachovu? Nilimpatia Jibu langu...ila si mbaya nikasikia majibu ya wengine yangekuwa yapi?
Angalizo:Huyu kijana kwa kukumbuka hata enzi zetu kuchagua timu kulijaa ujanja na hila na ubishi...akili ya dogo ilikuwa hivyo ila ktk siasa pia ina ukweli.
Kwa hiyo wewe kazi yako ni kutembea na pipi mfukoni. Huyo mtoto wa wapi Moshi?
Kwa hiyo wewe kazi yako ni kutembea na pipi mfukoni. Huyo mtoto wa wapi Moshi?
Hali ile ni matokeo ya mfumo kandamizi,wabunge wa ccm hawako huru, wanalazimishwa kukubali kila kitu hata kama hawakipendi.na ndio maana hawasomi hotuba zile kwani anajua hatimae lazima aunge mkono asilimia mia. huku CHADEMA hali ni tofauti, wabunge wako huru in real sense na wanajiandaa kwa mapambano ndani ya bunge kwa hoja hivyo ni lazima wawe hoja zenye nguvu na zenye mvuto, hivyo hulazimika kusoma na kujiandaa vya kutosha muda wote.kwa kuwa huwa wamejianda na ndio maana wanaonekana kulitawala BUNGE japo wapo wachache.Wabunge wa CCM,huwezi kuwalinganisha na wa CDM,namna ya uwasilishaji wa hoja zao.
Nitatoa mfano mmoja,inakuwaje mbunge wa CCM,wakati wa dakika 10 za uchangiaji wa hotuba za bajeti,katilka utangulizi wao wanasema wanaiunga mkono bajeti hiyo kwa asilimia 100,lakini wakati anachangia anaikosoa bajeti hiyo kwa nguvu sana,lakini cha ajabu wakati anamalizia kuchangia bajeti hiyo,anarudia tena kauli yake kwa kusema kuwa anaiunga mkono bajetli hiyo,kwa asilimia 100!
Inashangaza wabunge wa aina hiyo,madaktari wanaoshughulikia afya za wabunge wanaeaacha tu waendelee kuwepo bungeni,badala ya kuwakimbiza kwenye hospitali iliyo karibu na pale bungeni,inayoitwa Mirembe,ili madaktari walio kwenye hospitali hiyo,ili wawacheck afya zao,ili isije ikawa wana matatizo ya kiafya,yanayofanana na wagonjwa wao,wanaowalaza hospitalini hapo!!!
Ktk pita pita:Nilikuwa napata soda ktk kona moja,katokea mtoto anaelekea wa shule ya kayumba...kwani kabeba mpira wa kufuma mwenyewe, kwapani na fagio.Kabla hajaingia uchochoroni,kuelekea nyuma panpoelekea maji machafu..akasimama msikiliza Lissu..huku akinipa "shikamoo yangu".Nikamwitikia nikampatia pipi kadhaa nilizokuwa nazo.Akaniuliza kwanini CCM wanakubali CDM wachague timu ya mastaa wote halafu wao wabaki na wachovu? Nilimpatia Jibu langu...ila si mbaya nikasikia majibu ya wengine yangekuwa yapi?
Angalizo:Huyu kijana kwa kukumbuka hata enzi zetu kuchagua timu kulijaa ujanja na hila na ubishi...akili ya dogo ilikuwa hivyo ila ktk siasa pia ina ukweli.
Asante,
Enhee hadithi hii alikufundisha nani na alikuambia inatufundisha nini?
Wabunge wa CCM,huwezi kuwalinganisha na wa CDM,namna ya uwasilishaji wa hoja zao.
Nitatoa mfano mmoja,inakuwaje mbunge wa CCM,wakati wa dakika 10 za uchangiaji wa hotuba za bajeti,katilka utangulizi wao wanasema wanaiunga mkono bajeti hiyo kwa asilimia 100,lakini wakati anachangia anaikosoa bajeti hiyo kwa nguvu sana,lakini cha ajabu wakati anamalizia kuchangia bajeti hiyo,anarudia tena kauli yake kwa kusema kuwa anaiunga mkono bajetli hiyo,kwa asilimia 100!
Inashangaza wabunge wa aina hiyo,madaktari wanaoshughulikia afya za wabunge wanaeaacha tu waendelee kuwepo bungeni,badala ya kuwakimbiza kwenye hospitali iliyo karibu na pale bungeni,inayoitwa Mirembe,ili madaktari walio kwenye hospitali hiyo,ili wawacheck afya zao,ili isije ikawa wana matatizo ya kiafya,yanayofanana na wagonjwa wao,wanaowalaza hospitalini hapo!!!
We nicholaus akili yako sawa na yule mtoto wa mzee juma.