Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,195
Ktk pita pita:Nilikuwa napata soda ktk kona moja,katokea mtoto anaelekea wa shule ya kayumba...kwani kabeba mpira wa kufuma mwenyewe, kwapani na fagio.Kabla hajaingia uchochoroni,kuelekea nyuma panpoelekea maji machafu..akasimama msikiliza Lissu..huku akinipa "shikamoo yangu".Nikamwitikia nikampatia pipi kadhaa nilizokuwa nazo.Akaniuliza kwanini CCM wanakubali CDM wachague timu ya mastaa wote halafu wao wabaki na wachovu? Nilimpatia Jibu langu...ila si mbaya nikasikia majibu ya wengine yangekuwa yapi?
Angalizo:Huyu kijana kwa kukumbuka hata enzi zetu kuchagua timu kulijaa ujanja na hila na ubishi...akili ya dogo ilikuwa hivyo ila ktk siasa pia ina ukweli.
Angalizo:Huyu kijana kwa kukumbuka hata enzi zetu kuchagua timu kulijaa ujanja na hila na ubishi...akili ya dogo ilikuwa hivyo ila ktk siasa pia ina ukweli.