Mtoto kaniuliza kwanini CCM wanakubali CHADEMA wachague wabunge mastaa wote?

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,261
7,195
Ktk pita pita:Nilikuwa napata soda ktk kona moja,katokea mtoto anaelekea wa shule ya kayumba...kwani kabeba mpira wa kufuma mwenyewe, kwapani na fagio.Kabla hajaingia uchochoroni,kuelekea nyuma panpoelekea maji machafu..akasimama msikiliza Lissu..huku akinipa "shikamoo yangu".Nikamwitikia nikampatia pipi kadhaa nilizokuwa nazo.Akaniuliza kwanini CCM wanakubali CDM wachague timu ya mastaa wote halafu wao wabaki na wachovu? Nilimpatia Jibu langu...ila si mbaya nikasikia majibu ya wengine yangekuwa yapi?

Angalizo:Huyu kijana kwa kukumbuka hata enzi zetu kuchagua timu kulijaa ujanja na hila na ubishi...akili ya dogo ilikuwa hivyo ila ktk siasa pia ina ukweli.
 
Wabunge wa CCM,huwezi kuwalinganisha na wa CDM,namna ya uwasilishaji wa hoja zao.

Nitatoa mfano mmoja,inakuwaje mbunge wa CCM,wakati wa dakika 10 za uchangiaji wa hotuba za bajeti,katilka utangulizi wao wanasema wanaiunga mkono bajeti hiyo kwa asilimia 100,lakini wakati anachangia anaikosoa bajeti hiyo kwa nguvu sana,lakini cha ajabu wakati anamalizia kuchangia bajeti hiyo,anarudia tena kauli yake kwa kusema kuwa anaiunga mkono bajetli hiyo,kwa asilimia 100!

Inashangaza wabunge wa aina hiyo,madaktari wanaoshughulikia afya za wabunge wanaeaacha tu waendelee kuwepo bungeni,badala ya kuwakimbiza kwenye hospitali iliyo karibu na pale bungeni,inayoitwa Mirembe,ili madaktari walio kwenye hospitali hiyo,ili wawacheck afya zao,ili isije ikawa wana matatizo ya kiafya,yanayofanana na wagonjwa wao,wanaowalaza hospitalini hapo!!!
 
mkuu huyo dogo ni talented kulingana na swali lake alilokuuliza.MI NINGEMJIBU NDANI YA CCM WOTE WAMEJAA WABABAHISHAJI.
 
Kwa kitendo tu cha mbunge kuanza kuchangia bajeti,kwa kusema anaiunga mkongo bajeti kwa asilimia 100,na wakati anachangia,anaikosoa bajeti hiyo,anaikosoa kwa nguvu sana hadi povu linamtoka,ni vyema kwa wabunge wa namna hiyo,kiti cha spika,kikatumia busara zake kwa kuwaketisha chini wabunge wa aina hiyo,na badala yake muda huo wawakopeshe wabunge wanaoweza kuzitumia vyema.dakika hizo,kama vile Deo.Filikunjombe,Kangi Lugora,Tundu Lissu,Mchungaji Msigwa,Zitto Kabwe,John Mnyika,Halima Mdee, Mr Sugu,Wenje na Godbless Lema.

Nadhani kama kiti cha spika kikifanya hivyo,kitakuwa kimewatendea haki wananchi wa TZ,ambao wamewachagua wabunge hao siyo kwenda kufanya usanii humo mjengoni,bali kwenda kuongelea matatizo yao makubwa yanayowakabili,majimboni mwao.
 
Wabunge niliowataja hapo kwenye post yangu,naweza kudiriki kuwaita kuwa ndiyo FIRST ELEVEN,ya timu kabambe ya bunge!
 
Ktk pita pita:Nilikuwa napata soda ktk kona moja,katokea mtoto anaelekea wa shule ya kayumba...kwani kabeba mpira wa kufuma mwenyewe, kwapani na fagio.Kabla hajaingia uchochoroni,kuelekea nyuma panpoelekea maji machafu..akasimama msikiliza Lissu..huku akinipa "shikamoo yangu".Nikamwitikia nikampatia pipi kadhaa nilizokuwa nazo.Akaniuliza kwanini CCM wanakubali CDM wachague timu ya mastaa wote halafu wao wabaki na wachovu? Nilimpatia Jibu langu...ila si mbaya nikasikia majibu ya wengine yangekuwa yapi?

Angalizo:Huyu kijana kwa kukumbuka hata enzi zetu kuchagua timu kulijaa ujanja na hila na ubishi...akili ya dogo ilikuwa hivyo ila ktk siasa pia ina ukweli.
Mkuu vitu vingine ongeaga na mkeo tu nyumbani,naona leo umeingia shift za usiku,
 
Kwa hiyo wewe kazi yako ni kutembea na pipi mfukoni. Huyo mtoto wa wapi Moshi?
 
Mimi ningemjibu kuwa tatizo ni mtambo unaofyatua viongozi ndani ya ccm ambao unaitwa rushwalism, huu umewalevya ccm wote kiasi kwamba hawawezi tena kufyatua viongozi bora na hatari iliyopo hata 'bora viongozi' hawapatikani tena, hawa ' bora vuongozi' walikuwa wakati ule ni kama akina Kawawa, Malecela, kolimbwa, sorry ni Kolimba, Daudi Mwakawago akina mzee Khahama, na wengineo wengi hawa walifyatuliwa wakati mtambo huo ulipoanza kuchakaa na mafundi wa pale kivukoni kushindwa kupata vipuri vyake ambavyo by then vilikuwa vinapatikana Urusi au China.
Na kundi la 'viongozi bora' walikuwa wachache sana nao ni Nyerere na Sokoine pamoja na jamaa mmoja nadhani alikuwa anautwa brayson. Sasa baada ya huo mtambo kufa kabisa kuna genge la watu mafundi mchundo wa pale kijitonyama, wana kampuni yao wanaita mzalendo tiizi pub, hao jamaa wenyewe wanajiita jina la utani vijana wa kazi ' kucha na meno jicho moja' ndo sasa wameingia na mtambo huu waluioukarabati na kuupa jina la kizalendo la 'rushwalism' sasa baada ya ukarabati huo ndo unafyatua hawa vuongozi wa kundi la 'potelea mbali' kama akina mkaa-mia, seru-kamba, maka-mba, mche-mba ambaye ana mwanaye aliyempata kwenye kampeni kule igunga anayeitwa fyatu-fyatu kwahiyo huyu unaweza kumwita baba fyatu-fyatu, halafu kuna vijana wengine kama Lusyinde huyu jamaa ni mchanganyiko wa mchina na mrusi sasa vijana wa mzalendo tiiz pub wameibua sampuli mpya baada ya utafiti wao wa muda mrefu tu, nadhani angalau kijana umeelewa kidogo ccm ilivyo kama wewe ni mkristo kama mimi inabidi tusiache kuiombea ili ikalale mahali pema.
 
Hehehe .... unanikumbusha jamaa mmonja alikuwa hana mdomo usoni, mdomo wake ulikuwa kwapani.
 
Kwa hiyo wewe kazi yako ni kutembea na pipi mfukoni. Huyo mtoto wa wapi Moshi?

Haya ndiyo ninayo kushangaa wewe unakesha mitandaoni kwa mitizamo ya kidini na kikabila. Hata ushabiki wako ndani ya CCM unabibwa na udini udini tu.
 
Wabunge wa CCM,huwezi kuwalinganisha na wa CDM,namna ya uwasilishaji wa hoja zao.

Nitatoa mfano mmoja,inakuwaje mbunge wa CCM,wakati wa dakika 10 za uchangiaji wa hotuba za bajeti,katilka utangulizi wao wanasema wanaiunga mkono bajeti hiyo kwa asilimia 100,lakini wakati anachangia anaikosoa bajeti hiyo kwa nguvu sana,lakini cha ajabu wakati anamalizia kuchangia bajeti hiyo,anarudia tena kauli yake kwa kusema kuwa anaiunga mkono bajetli hiyo,kwa asilimia 100!

Inashangaza wabunge wa aina hiyo,madaktari wanaoshughulikia afya za wabunge wanaeaacha tu waendelee kuwepo bungeni,badala ya kuwakimbiza kwenye hospitali iliyo karibu na pale bungeni,inayoitwa Mirembe,ili madaktari walio kwenye hospitali hiyo,ili wawacheck afya zao,ili isije ikawa wana matatizo ya kiafya,yanayofanana na wagonjwa wao,wanaowalaza hospitalini hapo!!!
Hali ile ni matokeo ya mfumo kandamizi,wabunge wa ccm hawako huru, wanalazimishwa kukubali kila kitu hata kama hawakipendi.na ndio maana hawasomi hotuba zile kwani anajua hatimae lazima aunge mkono asilimia mia. huku CHADEMA hali ni tofauti, wabunge wako huru in real sense na wanajiandaa kwa mapambano ndani ya bunge kwa hoja hivyo ni lazima wawe hoja zenye nguvu na zenye mvuto, hivyo hulazimika kusoma na kujiandaa vya kutosha muda wote.kwa kuwa huwa wamejianda na ndio maana wanaonekana kulitawala BUNGE japo wapo wachache.
 
Huwa najiuliza na hawa wabunge wa CDM watakapo ingia ikulu watakuwa mazezeta kama hawa wa ccm?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
tatizo ccm huwa hawapendi ukweli kwa hiyo ili uendelee kudumu ndani ya chama lazima uwe mnafiki kuna wachache wameshindwa kuwa wanafiki majibu yao ndani ya chama utayapata 2015.Chadema wanaonekana mashujaa kwasababu hubase kwenye ukweli na hawana cha kupoteza kwenye ukweli wao.
 
Wabunge wa CCM ni wafuasi wa Kibwetele Kikwete mukichwa wamejaza sisimizi
 
Ktk pita pita:Nilikuwa napata soda ktk kona moja,katokea mtoto anaelekea wa shule ya kayumba...kwani kabeba mpira wa kufuma mwenyewe, kwapani na fagio.Kabla hajaingia uchochoroni,kuelekea nyuma panpoelekea maji machafu..akasimama msikiliza Lissu..huku akinipa "shikamoo yangu".Nikamwitikia nikampatia pipi kadhaa nilizokuwa nazo.Akaniuliza kwanini CCM wanakubali CDM wachague timu ya mastaa wote halafu wao wabaki na wachovu? Nilimpatia Jibu langu...ila si mbaya nikasikia majibu ya wengine yangekuwa yapi?

Angalizo:Huyu kijana kwa kukumbuka hata enzi zetu kuchagua timu kulijaa ujanja na hila na ubishi...akili ya dogo ilikuwa hivyo ila ktk siasa pia ina ukweli.

Asante,
Enhee hadithi hii alikufundisha nani na alikuambia inatufundisha nini?
 
Hata huyo mtoto wa chandimu kakushinda...omba Mungu asikukute ktk njia yake kuelekea juu,kwani kwa fikra hizi utaamwekea kiwingu..lazima akuumbue mbele ya wana digitali hutoweza mfanya kitu.
 
Wabunge wa CCM,huwezi kuwalinganisha na wa CDM,namna ya uwasilishaji wa hoja zao.

Nitatoa mfano mmoja,inakuwaje mbunge wa CCM,wakati wa dakika 10 za uchangiaji wa hotuba za bajeti,katilka utangulizi wao wanasema wanaiunga mkono bajeti hiyo kwa asilimia 100,lakini wakati anachangia anaikosoa bajeti hiyo kwa nguvu sana,lakini cha ajabu wakati anamalizia kuchangia bajeti hiyo,anarudia tena kauli yake kwa kusema kuwa anaiunga mkono bajetli hiyo,kwa asilimia 100!

Inashangaza wabunge wa aina hiyo,madaktari wanaoshughulikia afya za wabunge wanaeaacha tu waendelee kuwepo bungeni,badala ya kuwakimbiza kwenye hospitali iliyo karibu na pale bungeni,inayoitwa Mirembe,ili madaktari walio kwenye hospitali hiyo,ili wawacheck afya zao,ili isije ikawa wana matatizo ya kiafya,yanayofanana na wagonjwa wao,wanaowalaza hospitalini hapo!!!

Ni wabunge Analogia..wabunge digitali wana binary values(ON au OFF, 1 au 0, Ndiyo au hapana, etc), CCM wana 0,00001,00002..........1, ndio maana wanadhani set ya choices mbili (Ndio na hapana )wanaweza kuwa na choices nyingine.

Hiyo ndio tofauti ya digitali na analogia
 
We nicholaus akili yako sawa na yule mtoto wa mzee juma.

Sema yote ..km gamba.Ila nijuavyo yule dogo akija magamba naweza kuwa Katibu mkuu...kawapiga bao sana kifikra..kashangaa mmepataje uchafu...na atawashangaa kuwapa wanafunzi maxi kwa vitu hawakujibu.

Hizi ndizo hasara za kuchagua watu kadiri wanavyonshindwa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom