Everything happens for a reason....:smile-big::smile-big:Walikosea kumwambia huyo mtoto wa kiume kuwa huyo binti sio dadaake wa damu kwasababu nae ni mtoto na akili za kitoto matokeo ndo kama hayo sasa wangesubiri apevuke.Sasa inabidi huyo binti aelezwe ukweli tu kuhusu biological father coz wakiendelea kuficha atajua tu haliepukiki!Maji ndo yashamwagika tena hayazoleki na mama apunguze hasira hata kama kijana kasema NI UKWELI!