Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,153
- 2,647
Natumaini hamjambo huko mliko!
Sasa kilichonileta hapa ni kuhusu mtoto, ana vipele vidogo vidogo sehemu za shingo kwa nyuma na sehemu za mabegani kidogo, kila akibebwa hasa akiguswa tu shingoni kwa nyuma analia kwa maumivu. Nini dawa yake?
Mtoto ana mwezi mmoja na wiki mbili.
Madaktari naombeni msaada.