Mtoto afariki siku ya harusi

Jamaa ako mlaini sana, na kama wewe ni mlaini, mshauri aache mambo ya hovyo
Ujue kila kitu ni vile mtu hukichukulia,siwezi kusema ni mlaini kwakua sijui ningekua mm lingenishidia hatua gani.
 
Dah kidogo sana hapo Bora ata angeanza kulia ndani ya gari uko alizngua mkuu Yan Mwishoni kabisa hapo alifanya kila mtu kijua msala wake

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Wengi waliokuepo ni ndugu lakini kitu ilisambaa sana yani,angekaza hadi azame kwenye gari kisha atoroke huko honeymoon
 
Mkuu alivumilia Sana daa duniani Kuna mambo magumu, ila Kuna mda mwingine inabidi ulie tu Kwa sauti...

Nimejifunza jambo kubwa hapa
 
Hii chai … kama kwenye movie eti akapiga magoti mbele za watu akapaza sauti kuu akalia “nimeshindwaa kuvumilia”[emoji23][emoji23][emoji23]

Hamna mwanaume wa namna hio bwana, tena siku ya harusi mbele za watu.
 
Ni tafsiri yako sio mbaya

Sent from my CPH2121 using JamiiForums mobile app
 
Mmmmmh ni mkosi kama.mikosi mingine siku ya harusi mtoto wake kafa dah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…