Mtoa kero aishia kutumbuliwa.

fakalava

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2015
Posts
4,459
Reaction score
6,033
Hii imetokea jana kwanye ziara ya Makonda eneo la Malamba Mawili Ubungo.

 
Kaijilipua mwenyewe Muda huu atakuwa anajijutia bure hahahaa
 
Eti nikweli kuwa aliyeamuru huyu jamaa akamatwe alinunua jina la mwanafunzi aliyefaulu darasa la 7 na ndo analitumia mpaka sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…