Intelsat
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 323
- 532
Wakuu mto Pangani au alimaarufu kama mto ruvu kwa kweli mpaka wakati huu umezoa nyumba za wakazi wengi walio karibu nao mimi Niko hapa Hale hali ni mbaya sana ndugu zangu maji yanazidi sana kwa kweli nasogea Korogwe ni update but tetesi zilizopo ni kuwa bwawa la nyumba ya mungu wamefungulia milango yao na wamefungua mlango mmoja tu kiukweli hali inatisha sana kwa madaraja