Mtindi mzito 1lt= 2200 wahi upo

Mtindi mzito 1lt= 2200 wahi upo

daktarii

Member
Joined
Sep 14, 2020
Posts
41
Reaction score
57
Habari juzi nikaamua kugandisha maziw ya ngombe wangu ambayo yanachukuliwag kwa oda (wanaochukua iddi hawakufungua biashara zao mjini ) . So now mtindi ni mzuri Sana upo Kama 30 liter hv bei ntauza 1liter 2200

3 liter =6600
5liter = 11000
10 liter = 21000

Malipo Ni baada ya kupokea Oda yako , unaeza ukaonja uone ladha yake mzigo ukifika

Delivery=( Bagamoyo road (Mwenge, Mbezi beach , Tegeta , Boko, Bunju, Kawe , Mikocheni , Makumbusho , Posta , Kariakoo, Upanga etc)

+255774318626 , +255762565051
KARIBUNI

homemade-buttermilk-A1.jpg
 
Back
Top Bottom