The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,906
- 2,885
Wananchi wengi hasa wale wa kawaida wamekiri kuwa wako tayari kuhamia CCM hasa ikiwa chama hicho kikongwe kitamkabidhi rungu la uenyekiti mheshmiwa Magufuli.
Wengi wa wananchi hao waliofanyiwa mahojiano na mwandishi mmoja wa kujitegemea walikiri kuwa awali waliunga mkono upinzani si kwa sababu CCM ni mbaya ila ilishndwa kabisa kutetea maslahi ya maskini na wanyonge." ilimradi sasa rais anaonekana kututetea wanyonge hebu na apewe haraka huo uenyekiti ili tukachukue kadi za CCM" alidai mmoja wa wahojiwa hao Zephania kapiki mkazi Kilwanji mkoani Kilimanjaro.