Duuh kishimba nae kumbe kaingia kwenye Siasa shughuli ipo.
Hivi huyu Kishimba ni yule aliyehisiwa kumsaidia Mrema uchaguzi wa 1995?Duuh kishimba nae kumbe kaingia kwenye Siasa shughuli ipo.
Unazikubali story za vijana wa BAVICHA?tatizo la kishimba,analack strategy,hana watu waliobobea kimkakati wa kupiga kampeni...japo pesa anazo angeweza kupata watu wazuri kumwongoza,lakini nahisi kaweka weka wapambe tu katika kampeni na si wazoefu wa kampeni..
Mkapa ndio anambembeleza asijitoe.... Ila yeye juzi alishaandika barua kwa Kinana
Mkuu makosa alifanya ktk kuchagua jimbo. Jimbo la kahama kwa jinsi James lembeli alivyojiimarisha hata km wangechuana ndani ya ccm,kishimba asingeshinda. Kwa majimbo hayo ya kahama,angeenda jimbo la ushetu au jimbo la msalala. Kishimba hayo maeneo yote anajulikana na wagombea wake ni dhaifu..! Kwa jimbo la kahama anapoteza fedha tu.tatizo la kishimba,analack strategy,hana watu waliobobea kimkakati wa kupiga kampeni...japo pesa anazo angeweza kupata watu wazuri kumwongoza,lakini nahisi kaweka weka wapambe tu katika kampeni na si wazoefu wa kampeni..
WATANZANIA WAMEAMKA SASA:CCM PEKEE NDIO TEGEMEO
1.-Wamegundua CCM hakuna UDINI
-Ukawa ni UDINI dhehebu la EL na Maaskofu 2 ndio VINARA wao
2.-Wamegundua CCM hakuna UKANDA
-Ukawa sasa UBAGUZI wa KIKANDA unashamiri sana.
3.-Wamegundua CCM tunaongozwa na SERA SAHIHI
-Ukawa ni MAHABA yasiyoeleweka,watu wanalipwa kuhudhuria
mikutano.
4.-Wamegundua CCM inafanya siasa za ki-staaarabu.
-Ukawa makundi ya FUJO yamejitokeza sana,hakuna ustaarabu.
5.-Wamegundua GESI,Utawala BORA utainua UCHUMI wetu
-Ukawa kuna Matajiri 5, watagawana NCHI ili kurudisha pesa
zao.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
Ushetu CHADEMA walimsimika Bw. Isaya Bukakiye (Mzaliwa wa Kabingo - Kakonko) huyu yuko sawa kwa maneno jukwaani na fedha. Hope kama Lembeli ataendelea kumsaidia anaweza kushinda