Mtihani wa uaminifu

Mtihani wa uaminifu

mpalu

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2010
Posts
2,521
Reaction score
876
NIMEIONA MAHALI HII....ISOME NA WEWE USIJALI KAMA NI NDEFU SANA....

Mimi na girlfriend wangu tulikuwa tunapendana sana. Tulikuwa tumeishakuwa pamoja kwa mudawa miaka minne hivi, na hivyo tukawa tumeamua kuoana. Kulikuwa na jambo moja dogo tulililokuwa likinisumbua sana; mdogo wake wa kike ambae alikuwa mzuri sana.

Huyo binti (shemeji yangu) alikuw...a na umri wa miaka ishirinina moja hivi,muda wote alipendelea kuvaa sketi fupi sanana fulana nyepesi au brauzi zinazoonesha mwili wake na jinsi kifua chake kilivyo alikuwa hahitaji kuvaa sidiria. Pamoja na binti huyu kuwa mwembamba kiasi, alikuwa na umbo la ajabu. Kiuno chake kiliumbwa mithiri ya nyingu weusi.... Tatizo ni kwamba mara nyingi binti alipokuwa akiniona alikuwa na tabia ya kujipitisha pitisha na kuinama mbele yangu ili kunionesha mtaji wake. Kusema kweli nilikuwa navutiwa sana na uzuri wake, lakini nilikuwa namuheshimu sana mchumba wangu.

Na pia nilijua alikuwa ananifanyia makusudi maana alikuwa hafanyi hivyo kukiwa na watu wengine...bila shaka alikuwaananitaka. Siku moja binti huyo alinipigia simu niende nyumbani kwake nikaangalie kadi za mialiko ya arusi alizokuwa amechapisha.

Nilipofika (wakati naingia ndani) akaninong'oneza kuwa ananitamani sana na kamwe hawezi kujizuia. Akaendelea kunieleza kuwa anahitaji tufanye mapenzi kabla sijafunga ndoa nadada yake ili nisijisikie vibaya kwamba natoka nje ya ndoa....Nilipigwa na bumbuazi na hasa kutokana na nguo za nusu uchi alizokuwa amevaa.

Kabla sijamwambia lolote akaniwahi "Mi natangulia juu (ghorofani) kwenye chumba changu, kama unahitaji nikupe kitu kitamu njooharaka kabla mashetani yangu hayajapoa... "akageuka na kukimbilia chumbani kwake Haraka nikageuka na kuelekea mlango mkubwa wa kutoka nje.

Nikafungua na kutoka kuelekea kwenye gari yangu. Loh! kwa mshangao mkubwa nikaona pale nje familia yote imekusanyika na waliponiona nikitoka wakanipigia makofi na vigelegele kwa furaha. Huku machozi yakimtoka kwa furaha, baba mkwe akaniambia"Tume furahi sana kwamba umeshinda mtihani mdogo wa uaminifu ulioandaliwana familia. Tuna hakika wewe ndie mwanaume pekee unaefaa kumuoa binti yetu... karibu katika familia....

Kitu cha maana nilichojifunza siku hiyo, ni umuhimu wa kuweka condom ndani ya gari badala ya kutembea nazo mfukoni....
 
Inamaana kama zingekuwa mfukoni, uaminifu ungepotea kabisa siku hiyo?
Its very interesting.
 
Hii inanikumbusha nikiwa darasa la tano B. Nilipoenda kumkamua ng'ombe kwa bahati mbaya kaptura yangu ilianguka, na muda huohuo akatokea msichana niliyekuwa nikimpenda kwa dhati. Akanikataa eti kwa sababu kanifumania nikifanya matusi na ng'ombe
 
Pole sana Bujibuji.

Hukuzimia kaka,mm tu mwili umesisimka.


Hii inanikumbusha nikiwa darasa la tano B. Nilipoenda kumkamua ng'ombe kwa bahati mbaya kaptura yangu ilianguka, na muda huohuo akatokea msichana niliyekuwa nikimpenda kwa dhati. Akanikataa eti kwa sababu kanifumania nikifanya matusi na ng'ombe
 
Last edited by a moderator:
Hii inanikumbusha nikiwa darasa la tano B. Nilipoenda kumkamua ng'ombe kwa bahati mbaya kaptura yangu ilianguka, na muda huohuo akatokea msichana niliyekuwa nikimpenda kwa dhati. Akanikataa eti kwa sababu kanifumania nikifanya matusi na ng'ombe
Pole sana Bujibuji,mambo haya huwa yanatokea
 
Jamaa hakushinda kipimo cha uaminifu!! Kilichokuwa kimemsaidia ni kuwa condom zilikuwa katika gari na alikuwa anazifuata!!!! Zingekuwa mfukoni angedunga sindano shemejiye!!! Ha ha ha!!
 
Waliwahi kumshangilia wangecbiri labda alikuwa ameenda kuchukua condom kwenye gari kama kashamsifia mdogo mtu hadi bac hapo amezuga tu kwa kuwa walimuwahi vinginevyo angefanya kweli.
 
Back
Top Bottom