pinky toto JF-Expert Member Joined Jan 4, 2016 Posts 215 Reaction score 122 Mar 2, 2016 #1 Habari zenu wadau! Naomba mnsaidie kujua mada zinatungiwa mitihani ya RPL, katika masomo ya History, Kiswahili, Basic Mathematics, English na Civics. Kwa anaefahamu nisaidie mwongozo.
Habari zenu wadau! Naomba mnsaidie kujua mada zinatungiwa mitihani ya RPL, katika masomo ya History, Kiswahili, Basic Mathematics, English na Civics. Kwa anaefahamu nisaidie mwongozo.