Sionagi mchango au point yeyote kwa kila anachoongea lwaitama, zaidi ya kutoka mapovu tu.
Sijaona hoja ya maana katika makala yako na hata hayo ya Mwanakijiji unayoelekea kuyasifia hapa zaidi ya kuonesha ushabiki wako wa CCM kimgongo mgongo (kinyumenyume). Huko mnakokusifia kujisafisha kwa CCM kuko wapi?Unafikiri CCM hata ikijisafisha itabadilika? Uliona wapi Simba au Mbwa mwitu akajikarabati sura au ngozi yake na kisha kwenda kwenye kundi la Kondoo na kudai eti na yeye sasa ni kondoo na hivyo asiogopewe tena. Acheni kuja na propaganda za kutaka kupima upepo kupitia watu maarufu kama Lwaitama.
CCM haitanii na ndio kwanza safari imeanza na wanakwambia si nguvu ya soda.Kumbuka uzoefu wa CDM kisiasa ni mdogo kulinganisha na CCM hivyo na adui CCM ameishatambua silaa ilizonazo CDM sasa kilichobaki ni mchakato wa kukimaliza kisayansi.
Changamoto anayotoa Mwanakijiji kwa CDM ni kubwa kutokana na maswali haya. Je! CDM watauweza mziki wa CCM?.
Je! CDM wanauwezo wa kucheza bila kusikiliza mziki wa CCM?..
Ikumbukwe kuwa Watanzania watampigia kura Yule mwenye uwezo wa kumiliki Jukwaa.
Umeandika sana lakini mwisho wa siku wewe mwenyewe utaonekana mshabiki zaidi ya Lwetama na utabakia kuwa mlamba viatu wa CCM.
Kweli CCM kwenye udhalimu haitanii; uzoefu wa CCM ni ule wa kikasuku hata siku moja hawajatafsiri maneno yao kwa vitendo CDM wanalijua na wananchi wanajua. Mbona CCM kwa udhaifu huo tayari anayumba kama kalewa? Kwa dozi ya utangulizi tu ya CDM kwa CCM tayari anaweweseka kukipasua chama lake ndio ujue CCM ni chui wa karatasi kama washirika wake wa aina yake.
CDM hawajawahi, hawatacheza na wala hawafikirii kucheza muziki wa CCM kwa sababu ni makelele tu yasiyo na mvuto.
CDM hawajui na hawataki kujua wala kusikiliza makelele ya CCM.
Watanzania wanalinganisha hoja na ukweli wa maisha yao bila kupanda fuso kwenda kwenye upuuzi wa majukwaa ya CCM
Nimesoma kwa makini maoni ya Mwanakijiji pamoja na maoni ya Slaa,Zitto,Lwetama n.k.Nilichokibaini cha msingi hapa ni kuwa Mwanakijiji ameanza kupata wasiwasi na mbinu inayotumiwa na CDM katika harakati za kushika dola.Kwa Mwanakijiji anaona kivuli cha CCM kinaanza kuongezeka hasa baada ya mkakati wa kujivua gamba ambao kimsingi unanafasi yake kubwa katika mabadiliko ya Chama.Hapa Mwanakijiji anaona CCM katika uvuaji gamba haikomei kwenye mabadiliko ya CC na Sekretarieti yake,bado inamikakati makini ya kimafia yenye kuhakikisha CDM inapotea katika masikio ya Wananchi.
Upande wa pili,Mwanakijiji anaitizama CDM kama chanzo cha kuipa nguvu CCM badala ya kuidhoofisha.Mwanakijiji anaitizama CDM mbali na kupuuza mabadiliko ndani ya CCM bali pia imekuwa msaada mkubwa kwa mabadiliko hayo.CDM hapa inashindwa kutambua ni wapi CCM inapaswa kutokomezwa?na ni silaa gani ya kuitokomeza CCM?.
Maoni ya DR. Xavier Lwetama ambayo yameonekana wazi kupinga maono ya Mwanakijiji inadhihirisha uvivu wa kufikiri alionao.Lwetama mbali na kuwa na focus ya kutamani CCM ife ata Leo lakini inaonyesha njia ya CCM kufa haioni zaidi ya kutanguliza chuki binafsi na wala si " strategy".Dr. Lwetama akiwa anajinadi kama Mwanachama mfu wa CCM ,hii pia inaongeza changamoto ya kutokukubalika kwa hoja yake kwani ni dhahiri anaonyesha ushabiki wake kisiasa ni katika mlengo wa "opportunistic".Maoni yake ya kudai ushindani wa kimaadili (kutokutumia mbinu ya kudhoofishana) ila CCM ife hapa ndio njia na mbinu ya Lwetama inaposhindwa.CCM haiwezi kufa bila kudhoofika,ajali kwa binadamu ni sawa lakini si mfano wa CCM kufa kama ajali ya basi.
CDM imeonyesha ku-survive kwa makosa ya CCM,hii inamaana CCM ikijirekebisha kutokana na makosa yake CDM haipo.Mwanakijiji anapata wasiwasi kwani mwazoni CDM ilikuwa inampa nguvu na kuona kifo cha CCM kinakaribia sasa wasiwasi unatanda baada ya kuona CDM imempa kikombe CCM (adui) sasa karudi kazini na dhana za kummaliza mtoa kikombe.
Mwanakijiji hajakosea kwani anajua CCM si chama cha kawaida kama CDM inavyodhani.Anatambua na kusifu katika mada yake kuwa hawa ni watu wa siasa za Kisayansi na mbinu za kimafia kwa maana ya ubingwa wa kuuwa vyama pinzani.Ni kweli CCM inauwezo huo na kama CDM haitofikiri njia mbadala za kujiimalisha (kuachana na nyimbo za list of shame,remix etc.) ambazo CCM imeisha zirekodi kwa jina lake itakufa kabla ya 2015.
CCM haitanii na ndio kwanza safari imeanza na wanakwambia si nguvu ya soda.Kumbuka uzoefu wa CDM kisiasa ni mdogo kulinganisha na CCM hivyo na adui CCM ameishatambua silaa ilizonazo CDM sasa kilichobaki ni mchakato wa kukimaliza kisayansi.
Changamoto anayotoa Mwanakijiji kwa CDM ni kubwa kutokana na maswali haya.
Je!CDM watauweza mziki wa CCM?Je! CDM wanauwezo wa kucheza bila kusikiliza mziki wa CCM?.Ikumbukwe kuwa Watanzania watampigia kura Yule mwenye uwezo wa kumiliki Jukwaa.
eti Lwaitama anaongea povu? kweli either huyo bwana ana akili saaaaaana (ingawa sidhani) au mjinga kuliko kawaidaKuna mawili: Either una akili sanaaa au ni mbumbumbu mnooo! Hebu nikufuatilie, ntafahamu tu soon.
Lwaitama ni Lecturer wa CRITICAL THINKING AND ARGUMENTATION, wengi walioshia FORM IV huwa wanapata shida sana kumuelewa, Jamaa huwa anatumia maneno na mifano ambayo lazima uwe umefika level flani kumuelewaSionagi mchango au point yeyote kwa kila anachoongea lwaitama, zaidi ya kutoka mapovu tu.
Kwa bahati mbaya sana siasa haziko unavyofikiri mkuu, si kinadharia wala vitendo.
Kama unaamini kuwa kashfa za ufisadi ni sababu ya ushindi hafifu kwa Ccm 2010 ambayo pia ndiyo mafanikio kwa Chadema 2010 then utakubali kuwa Chadema kitakufa kwa kukosa lishe (kashfa za ufisadi) ikiwa Ccm watakinyima chakula kwa kuendelea na kampeni yao ya kujivua gamba ambayo wewe unaibeza pengine kwa kujifariji kuwa si chochote, si lolote.
Siamin huna macho ya kuona...
Nimesoma kwa makini maoni ya Mwanakijiji pamoja na maoni ya Slaa,Zitto,Lwetama n.k.Nilichokibaini cha msingi hapa ni kuwa Mwanakijiji ameanza kupata wasiwasi na mbinu inayotumiwa na CDM katika harakati za kushika dola.Kwa Mwanakijiji anaona kivuli cha CCM kinaanza kuongezeka hasa baada ya mkakati wa kujivua gamba ambao kimsingi unanafasi yake kubwa katika mabadiliko ya Chama.Hapa Mwanakijiji anaona CCM katika uvuaji gamba haikomei kwenye mabadiliko ya CC na Sekretarieti yake,bado inamikakati makini ya kimafia yenye kuhakikisha CDM inapotea katika masikio ya Wananchi.
Upande wa pili,Mwanakijiji anaitizama CDM kama chanzo cha kuipa nguvu CCM badala ya kuidhoofisha.Mwanakijiji anaitizama CDM mbali na kupuuza mabadiliko ndani ya CCM bali pia imekuwa msaada mkubwa kwa mabadiliko hayo.CDM hapa inashindwa kutambua ni wapi CCM inapaswa kutokomezwa?na ni silaa gani ya kuitokomeza CCM?.
Maoni ya DR. Xavier Lwetama ambayo yameonekana wazi kupinga maono ya Mwanakijiji inadhihirisha uvivu wa kufikiri alionao.Lwetama mbali na kuwa na focus ya kutamani CCM ife ata Leo lakini inaonyesha njia ya CCM kufa haioni zaidi ya kutanguliza chuki binafsi na wala si strategy.Dr. Lwetama akiwa anajinadi kama Mwanachama mfu wa CCM ,hii pia inaongeza changamoto ya kutokukubalika kwa hoja yake kwani ni dhahiri anaonyesha ushabiki wake kisiasa ni katika mlengo wa opportunistic.Maoni yake ya kudai ushindani wa kimaadili (kutokutumia mbinu ya kudhoofishana) ila CCM ife hapa ndio njia na mbinu ya Lwetama inaposhindwa.CCM haiwezi kufa bila kudhoofika,ajali kwa binadamu ni sawa lakini si mfano wa CCM kufa kama ajali ya basi.