Mtia Nia Chaguo la Mungu

Mbushuu

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2011
Posts
2,181
Reaction score
3,423
Wakuu heshima kwenu naomba msikose kujitokeza kumuunga mkono mzee wetu nae ametia nia
R.I.P King.
 

Attachments

  • 1433229633147.jpg
    81.7 KB · Views: 483
sio pesa mingi sana twendeni tukamuunge mkono katika safar yake ya kuelekea magogono Zamaulid
 
Last edited by a moderator:
Kuna mtu mmoja jana alisema hivi, "Kutafuta mgombea safi toka CCM, ni sawa na kutafuta Bikra kwenye Wodi ya Wazazi...."

hahahaaaa king Majuto
 
Ndo tumeianza safari yetu The Bleiz
Kikwete ameufanya urais umekuw rahisi sana daah Tz nchi angu Elli
 
Last edited by a moderator:
Bora hata huyu bana........
 
Ila huyu mzee wa Tanga waja leo.....namkubali kwa uhalisia
 
Kuna mtu mmoja jana alisema hivi, "Kutafuta mgombea safi toka CCM, ni sawa na kutafuta Bikra kwenye Wodi ya Wazazi...."

hahahaaaa king Majuto
ha ha ha ha ....mbona rahisi tu hiyo kiongozi...watoto wachanga si wanakuwa na bikra au?!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…