Habari wanajamvi,
Namtambulisha kwenu mnyonge mwenzetu ambaye hatatugeuka na kujifanya Mungu mtu, hataomba kuwa kiongozi wa Malaika kwani yeye ni binadamu Kama sisi, hatakubali kujiita jiwe wakati ana damu na nyama.
So mwingine bali ni WASSIRA.
Ndugu zanguni twende naye 2020 kwa utetezi wa wanyonge.
Nawasilisha
Aiseee..
Naona jiwe kawachachafya mpaka lumuma wenzie..
Kama ccm wenyewe mmeparagnyika hivi.... Atapata tabu sana 2020
Hapo bado upinzani nao waachie vifaa vyao