mteja mafuta alizeti

mteja mafuta alizeti

Mtam

Member
Joined
Sep 25, 2012
Posts
21
Reaction score
2
Natafuta mteja wa mafuta ya alizeti hayakopacked nimekamua tu na kuchuja.
 
Bei gani dumu la lita ishirini na yako wapi.
taja bei ya kibiashara.
 
Akwambia kama biashara inatangazwa namna hivyo haya bwana ,husemi bei wala yako wapi mnaudhi sana hakia Mungu
 
Akwambia kama biashara inatangazwa namna hivyo haya bwana ,husemi bei wala yako wapi mnaudhi sana hakia Mungu

Labda ana haraka kama wewe.., si unaona hata wewe uliyoandika (au unatumia simu) ? 🙂
 
Unapotoa Tangazo La Biashara Hakikisha Linakuwa Na MVUTO! Mf Anza Kwa Kusema Mafuta Bora Ya Alizeti Ktk Ujazo Wa Taja Kiasi, Taja Yanakotoka,taja Yanakopatikana, Vutia Zaidi Kwa Kusema Km Unaweza Ukafikisha Kwa Wateja,taja Bei Kwa Kila Ujazo,taja Namba Ya Mawasiliano Na IWE KWELI HEWANI MUDA WOTE! Malizia Kwa Kuwakaribisha Wateja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom