Mtei: Uongozi wa Rais Magufuli ni kama wa Mwl. Nyerere

Toeni ujinga hapa
Kama Kuna positive actions however few tutasifia lakini kwa huyu dikteta wenu hakuba nengi ya kujisifu
Je hali ya maisha imekuwa bora kwa MTz wa kawida?
Nini cha kujisifu miezi tisa yangu ashike madaraka?
Achemi utani anaposema atawasaidia wanyonge kama Mwalimu Ni kuwatimua UDOM?
Ni kuwapandishia bei ya sukari?
Ni kumpa wadhifa Mrema?
Ni nini?
Acheni mzaha na maisha ya wa Tz na Mhima wenu

Sasa hayo maswali unamuuliza nani? Sisi wana JF au Mzee Mtei?
 
Toeni ujinga hapa
Kama Kuna positive actions however few tutasifia lakini kwa huyu dikteta wenu hakuba nengi ya kujisifu
Je hali ya maisha imekuwa bora kwa MTz wa kawida?
Nini cha kujisifu miezi tisa yangu ashike madaraka?
Achemi utani anaposema atawasaidia wanyonge kama Mwalimu Ni kuwatimua UDOM?
Ni kuwapandishia bei ya sukari?
Ni kumpa wadhifa Mrema?
Ni nini?
Acheni mzaha na maisha ya wa Tz na Mhima wenu
Mkuu tozo 5 za korosho zimefutwa, hii ni nafuu kwa mwananchi wa kawaida
 
Mkuu inafanana na gharama za kumuona daktari vipimo na dawa?
Korosho ni sawa na bei ya vyakula kama sukari?
Pamba Musoma,Misungwi wameacha kulima
Nini kasaidia wanyonge?
Labda MV Dar es salam
 
Back
Top Bottom