na tulishamuambia Kg asikanyage tena. Yule jamaa nilimuona mapema kipind cha kampen zake akawatukana madereva tax eti hata msiponipa kura chungu changu hakitaingia maharage wala sitapikia kuni na wala sitakosa dreva wa kuniendesha!. Kuja kutahamaki kakosa ubunge na ghafla kahamia Magamba.Usikumbushe Dr.Kabouru ntalia...usimtaje kabsa!2limpigania sana miaka iyo pale Kigoma...Mwanga-katubuka,Ujij na kote!2kaimalisha Ngome pale Urusi...2lipgwa sana na FFU kwa kumtetea..kwa kutumia ukaribu wa Kgma na maziwa makuu wengne tukafunguliwa kes za uhamiaj haramu!2limbeba Kabouru toka Steshen mpaka Ujiji jujuu ka mkomboz wetu!alichotufanyia!!!Juz nlimuona Bungen katembelea bunge ka Mbunge wa Africa Masharik