Mtegemee Mungu na wala usikate tamaa

Chadema 2030

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2025
Posts
1,915
Reaction score
3,748
Unaweza ukawa umefika mwisho, unaona kama haun faid kwenye hii dunia, ila ishi na imani mtumaniye Mungu sio wote wanaokutakia mema wengi, wanataman utesek ndio wafurah Mungu akupe nguvu maan wewe ni mshndi
 
Unazidi kupagawa,kwann usisome post za member wengine na ukatulia?
Man muone daktar unadepression kali mno na utapata paranoia soon
 
Unaweza ukawa umefik mwisho,unaona kama haun faid kwenye hii dunia,ila ishi na imani mtumaniye mungu sio wote wanaokutakia mema wengi, wanataman utesek ndio wafurah.mungu akupe nguv maan ww n mshnd
Unalewa Ukiwa kanisani au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…