beibe nasty
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 1,640
- 525
Hana panaomfaakilazatuyule
Asante remmy kwanza anaga jazba baba wawatuMi namkubali Nahodha, tena nilitarajia wakati ule angekuwa presidaa wa zenji.
Jamani Nahodha si kilaza au kisa ni gamba?
Mmmmh......
Hii si kweli hata kidogo.
Wapi wazuri, na hata huku wa magwanda wapo vilaza pia, nawajua wengi tu.
Mmmmh bbyHuyu angefaa kuimba Taarabu kweli ana voice mang'a-nyu!
Asante remmy kwanza anaga jazba baba wawatu
Naunga hojaYuko vizuri, walimbania upresidaa.
Mtazamo wako tuu shem 52