Mtazamo: Naona Giza mbele Kweye utawala wa Dr. Magufuli

Kura zilizotangazwa siyo zilizopigwa na wananchi. Magufuli kapigiwa chini ya 38%, unategemea watu watafurahi wanafurahi nini? Hao chini ya 38% ndiyo unaowaona wakiandika upumbauv hapa ili kuwa brainwash watu eti waanze kukenua eti wanashangilia ushindi wa nani?

Ccm ilivyoua elimu inataka watu wasijua hata kujumulisha na kutafuta asilimia? Ili hata inapotegneza matoeko fake ya kura watu wasitambue ila wabaki waki ---- hands?

Hapana. game halijaisha. sasa ndiyo linaanza.

Ninafanya utaratibu wa kuwakutanisha watu wote ambao tuna makampuni ya usafi wa maofisini, fumigation, na vikosi vya ulinzi ili tuwashikishe adabu hawa mahaini. Hatuna bunduki kama walizonazo wao lakini tuna mioyo, dhamira na maarifa.

Nchi itakuwa salama lakini haitatawaliwa kwa mabavu na mahaini hawa ccm.
 

"game halijaisha sasa ndiyo linaanza"nimepapenda sana hapo mkuu,haki ya mnyonge kama EDWARD haiwezi kupita hivihivi lazima kinuke!
 

ndungu nataka kukufahamisha kuwa hata ikitokea kwamba uchaguzi ukafutwa nakuludiwa Leo huyu luowasa wako hats hiyo asilmia38 aliyoipata inaweza pungua.
 
Naiona elninyo(elnino) kwa mbali yajikongoja
 
Kizzy Wizzy

Mikopo ya nini tena? si amesema yeye lift yake ibaishia olevel, na upate usipate yeye hayamuhusu halafu nenda kalie popote!!
 
Last edited by a moderator:
Naona sasa tunaanza kubaguana rasmi.wanaokejeli wenyehaki na wanaokejeliwa. Ni mbegu mbaya sana inaota. Tutabaguana kiitikadi na ni vibaya sana ila ndiko tunaenda. Nikiona duka la mtu wa itikadi tofauti na yangu sinunui. Ndiko wanatupeleka
 
BADO UMEPAGAWA.... hata title ya thread haieleweki unataka nini.... Wakati wa siasa umeshakwisha malaghai wa siasa tuache kuitumia JF ili irudishe hadhi yake ya zamani...
 
mimi nawaonea huruma sana wale wazee EAC najua sasa haki yao ndio imepotea jumla
 
lile ni Tingatinga,,likianza kazi mtatafutana,,NI KAZI TU...
 
ndungu nataka kukufahamisha kuwa hata ikitokea kwamba uchaguzi ukafutwa nakuludiwa Leo huyu luowasa wako hats hiyo asilmia38 aliyoipata inaweza pungua.

yaani wewe ndiyo hovyo kabisa,hata kuelewa hujaelewe hiza 38% kapata rais wenu.halafu siyo lazima uchangie!
 
Itakuwaje makini wakati hakuna pesa?Akiba yote iliyokuwepo imetumika kumuingiza Magufuli madarakani.
 
Watu wamenyong'onyea kama vile wamepatwa na msiba mkuu wa taifa,kila changamoto itakayojitokea ktk utwala wa awamu hii utatonesha vidonda hivi ambavyo sijui vitachukua muda gani kupona,kimsingi kila jema litakalofanywa na watawala litaonekana ni upuuzi mbele ya wananchi waliokata tamaa.Ila jambo moja ni hakika,kwa sasa tumegawanyika kwa kiasi kikubwa mno!
 
Hakuna mgawanyiko wowote lowassa kashindwa kihalali atuache tupige kazi tu akilianzisha ICC ipo Ina msubiria
 
Nakifkiria walimu, Madaktari, wafanya biashara, wafanya kazi watakavyo banwa kwenye ukusanyaji wa kodi nabaki nimeduaa sijui watajiskiaje!

alaf ukiangalia ndani ya miezi mi4 ijayo serikali inatakiwa iwaajiri walimu zaidi ya 25 elfu. Kazi ipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…