Tony antony
JF-Expert Member
- Nov 17, 2013
- 4,988
- 3,270
Adam na Eva walikuwa weupe, Yesu mweupe, Mtume Mohammed S.A.W mweupe. Ninaamini na Mungu tunyemwabudu kupitia makanisa na misikiti ni mweupe.Nje kidogo ya mada: mafunzo ya dini yanatwambia kuwa Adam ndie mtu wa kwanza duniani, je Adam alikuwa sokwe (ape like)?
Hahhahahha mkuuu hapo umemuwezaSio kosa lako uko kwenye hiyo process.
tena aswaa wa tz ndio kabisaaa awajakamilika kuanzia ki ubongo mpaka kimwiliWatu weusi bado wamo katika hatua za human evolution, hawajakamilika.
Binadamu kamili ni mweupe.
Wengi hapa watatoa povu kwa ukweli huu.
Yaaani umenena maprofesa wote vimeo tuuYaani hakuna tofauti ya mwenye madigrii na yule ambae hata mlango wa darasa haujui unafananaje.Katika bara hilo,mwanasiasa hata wa darasa la saba anaweza kumchota akili profesa!
napingana na wewe, mtu mweusi ana matatizo ya akili ambayo ni inborn, jaribu kuangalia nchi kama Haiti, Jamaica ambazo hazipo Africa na zilipata uhuru miaka ya 1800s maisha ya kule na siasa za kule ni kama Africa tu, pia ukiangalia africa American wana vyoishi kwa kuuana, madawa ya kulevya, na ujambazi utaona kua watu weusi wana matatizoTatizo sio brain evolution , bali ni uzoefu katika democracy. Remember practice makes perfect. Kama hujajua ubaya wa jambo huwezi kuliacha. Kwa hiyo, Afrika haijajua ubaya wa viongozi wao kukaa madarakani mda mrefu. Tumeshuhudia vita ya kwanza na ya pili ya dunia. Zote hizi zimetokea kwenye mabara yalioendelea . kwa hiyo the developed countries are already fed up with dictatorship now they are in the three Quarters of democracy while in Africa they are in the first quarters of democracy.
Hi ni sawa na mwanafunzi wa fomu 2 na mwana fuzi wa chuo kikuu mwaka wa kwaza. Afrika in mwanafunzi wa kidato cha pili na nchi zilizoendelea mwana funzi wa mwaka wa pili chuo kikuu. Swali, kati ya hao wanafunzi nani anauzoefu wa kujifunza ? Nani anauzoefu wa walimu wazuri au wabaya! Kwa hiyo, uzoefu ndio unaoamua aina gani ya maisha MTU aishi. Uzoefu wa kuongoza ndio unaoamua ni aina gani ya mfumo wa uongozi ufuatwe! Experience is the great teacher.
Katika historia tumejifunza kitu kinachoitwa human evolution ambapo tunaambiwa binadamu wa leo(modern man) alitokana na viumbe fulani (apelike ancestors) ambao walibadilika na hatimae akapatikana binadamu wa sasa. Evolution imehusisha vitu vingi kuanzia maumbile na hata maendeleo ya ubongo wa binadamu kama vile size of brain, n.k.Kwa uelewa zaidi, Soma "introduction to human evolution".
Wataalamu wanatuambia evolution imekamilika ila mwenzenu baada ya kuangalia taarifa ya habari usiku huu katika chombo kimoja cha kimataifa na kushuhudia madudu ya kisiasa katika nchi kadhaa za bara fulani na namna watu wengi katika nchi hizo walivyo nikilinganisha na watu wa mabara wengine,nachelea kusema evolution(brain evolution) katika bara hilo bado inaendelea na labda vizazi vijavyo ndio vitakuja kuwa bora zaidi lakini sio kizazi kilichopo sasa.
Nimeangali taarifa hiyo ya habari nimeona jinsi maswala ya uchaguzi yanavyofanywa hovyo hovyo katika nchi moja huku kiongozi wa nchi nyingine nae akibadili katiba na cha ajabu zaidi kuna watu wengi tu wanakubaliana na mambo haya.Yaani watu wa hilo bara akili zao zimeshikwa na wanasiasa kiasi cha wao kutojitambua kabisa na kuendeshwa na wanasiasa hawa mithili ya gari bovu.
Nikajiuliza hivi katika mabara mengine mambo haya bado yapo kweli?Baada ya kutafakari sana,nikajikuta nafikia conclusion kuwa kuna mabara kama mawili hivi ambapo moja ndio likiwa kinara,huenda watu wake bado wana-undergo mental evolution tofauti na watu wa mabara mengine ambao hii process kwao ilishakamilika.
Naunga mkono madaKatika historia tumejifunza kitu kinachoitwa human evolution ambapo tunaambiwa binadamu wa leo(modern man) alitokana na viumbe fulani (apelike ancestors) ambao walibadilika na hatimae akapatikana binadamu wa sasa. Evolution imehusisha vitu vingi kuanzia maumbile na hata maendeleo ya ubongo wa binadamu kama vile size of brain, n.k.Kwa uelewa zaidi, Soma "introduction to human evolution".
Wataalamu wanatuambia evolution imekamilika ila mwenzenu baada ya kuangalia taarifa ya habari usiku huu katika chombo kimoja cha kimataifa na kushuhudia madudu ya kisiasa katika nchi kadhaa za bara fulani na namna watu wengi katika nchi hizo walivyo nikilinganisha na watu wa mabara wengine,nachelea kusema evolution(brain evolution) katika bara hilo bado inaendelea na labda vizazi vijavyo ndio vitakuja kuwa bora zaidi lakini sio kizazi kilichopo sasa.
Nimeangali taarifa hiyo ya habari nimeona jinsi maswala ya uchaguzi yanavyofanywa hovyo hovyo katika nchi moja huku kiongozi wa nchi nyingine nae akibadili katiba na cha ajabu zaidi kuna watu wengi tu wanakubaliana na mambo haya.Yaani watu wa hilo bara akili zao zimeshikwa na wanasiasa kiasi cha wao kutojitambua kabisa na kuendeshwa na wanasiasa hawa mithili ya gari bovu.
Nikajiuliza hivi katika mabara mengine mambo haya bado yapo kweli?Baada ya kutafakari sana,nikajikuta nafikia conclusion kuwa kuna mabara kama mawili hivi ambapo moja ndio likiwa kinara,huenda watu wake bado wana-undergo mental evolution tofauti na watu wa mabara mengine ambao hii process kwao ilishakamilika.
Adamu si wa kwanza kuwepo,mwanae kaini alipomuua habili Mungu alim-outcast toka familia ya Adamu na akam-label usoni kwamba huko anakoenda mtu yeyote asimuueNje kidogo ya mada: mafunzo ya dini yanatwambia kuwa Adam ndie mtu wa kwanza duniani, je Adam alikuwa sokwe (ape like)?
That is generalization, wapo wafrika wameonesha mtazamo chanya na kuletea nchi zao maendeleo makubwa. Nitataja wachache, Marehemu, Mandera, Julius Kambarage Nyerere, Kwame Nkrumah just a few to mention. Unataka kusema hao akili zao zilikuwa zimeshaendelea? Au wao walikuwa na akili chotara kati ya mzungu na mwafrika? Elewa kuwa Elimu ya vitabuni nikitu kimoja wapo na kujua kitugani ni haki ya watu kwa wakati muafaka nikitu kingine. Walioko madarakani katika bara la Afrika baadhi yao kama siyo wote wamekosa kujua haki za watu wao kwa wakati muafaka. Hii inawezakuwa kwa makusudi au kwa kukosa Elimu Sahihi ya kutambua haki za wananchi wao. Kama waafrika wangekuwa na matatizo ya ubongo wasingeweza taaluma nyingine kwenye nchi za wenzetu. ( braindrained).napingana na wewe, mtu mweusi ana matatizo ya akili ambayo ni inborn, jaribu kuangalia nchi kama Haiti, Jamaica ambazo hazipo Africa na zilipata uhuru miaka ya 1800s maisha ya kule na siasa za kule ni kama Africa tu, pia ukiangalia africa American wana vyoishi kwa kuuana, madawa ya kulevya, na ujambazi utaona kua watu weusi wana matatizo
sijamaanisha kila mwafrica, nachomaanisha on average wa Africa uwezo wao wa kupambanua mambo na kukabiliana na matatizo ni mdogoThat is generalization, wapo wafrika wameonesha mtazamo chanya na kuletea nchi zao maendeleo makubwa. Nitataja wachache, Marehemu, Mandera, Julius Kambarage Nyerere, Kwame Nkrumah just a few to mention. Unataka kusema hao akili zao zilikuwa zimeshaendelea? Au wao walikuwa na akili chotara kati ya mzungu na mwafrika? Elewa kuwa Elimu ya vitabuni nikitu kimoja wapo na kujua kitugani ni haki ya watu kwa wakati muafaka nikitu kingine. Walioko madarakani katika bara la Afrika baadhi yao kama siyo wote wamekosa kujua haki za watu wao kwa wakati muafaka. Hii inawezakuwa kwa makusudi au kwa kukosa Elimu Sahihi ya kutambua haki za wananchi wao. Kama waafrika wangekuwa na matatizo ya ubongo wasingeweza taaluma nyingine kwenye nchi za wenzetu. ( braindrained).
Mungu wa kwenye bible ni mungu wa wayahudi tu, sisi wengine tunamshobokea tuAdamu si wa kwanza kuwepo,mwanae kaini alipomuua habili Mungu alim-outcast toka familia ya Adamu na akam-label usoni kwamba huko anakoenda mtu yeyote asimuue
Jiulize: hao waliolengwa wasimuue kwenye bluu