Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,643
- 164,790
Hata huelewekiKatika historia tumejifunza kitu kinachoitwa human evolution ambapo tunaambiwa binadamu wa leo(modern man) alitokana na viumbe fulani (apelike ancestors) ambao walibadilika na hatimae akapatikana binadamu wa sasa. Evolution imehusisha vitu vingi kuanzia maumbile na hata maendeleo ya ubongo wa binadamu kama vile size of brain, n.k.Kwa uelewa zaidi, Soma "introduction to human evolution".
Wataalamu wanatuambia evolution imekamilika ila mwenzenu baada ya kuangalia taarifa ya habari usiku huu katika chombo kimoja cha kimataifa na kushuhudia madudu ya kisiasa katika nchi kadhaa za bara fulani na namna watu wengi katika nchi hizo walivyo nikilinganisha na watu wa mabara wengine,nachelea kusema evolution(brain evolution) katika bara hilo bado inaendelea na labda vizazi vijavyo ndio vitakuja kuwa bora zaidi lakini sio kizazi kilichopo sasa.
Nimeangali taarifa hiyo ya habari nimeona jinsi maswala ya uchaguzi yanavyofanywa hovyo hovyo huku kiongozi mwingine nae akibadili katiba na cha ajabu zaidi kuna watu wengi tu wanakubaliana na mambo haya.Yaani watu wa hilo bara akili zao zimeshikwa na wanasiasa kiasi cha wao kutojitambua kabisa na kuendeshwa na wanasiasa hawa mithili ya gari bovu.
Nikajiuliza hivi katika mabara mengine mambo haya bado yapo kweli?Baada ya kutafakari sana,nikajikuta nafikia conclusion kuwa kuna mabara kama mawili hivi ambapo moja ndio likiwa kinara,huenda watu wake bado wana-undergo mental evolution tofauti na watu wa mabara mengine ambao hii process kwao ilishakamilika.
Sio kosa lako uko kwenye hiyo process.Hata hueleweki
Yaani hakuna tofauti ya mwenye madigrii na yule ambae hata mlango wa darasa haujui unafananaje.Katika bara hilo,mwanasiasa hata wa darasa la saba anaweza kumchota akili profesa!Niliwahi kufikiri hii kitu! Tatizo la hilo bara ni beyond description!
Sidhani kama evolution itakuwa imefika mwisho kwa sababu dependent facor ya evolution ni ni mazingira. Kwa mfano ukiwachukua vipepeo wenye rangi nyeupe ukawaweka waishi vizazi na vizazi takribani miaka elfu katika mazingira yaliyo na moshi mweusi wa viwanda probably hao vipepeo watabadilika rangi na kuwa weusi. Nadhani kama unakumbuka vizuri kuliwahi kuelezwa jambo moja na watu walifanya utafiti wa effect ya uharibifu wa mazingira juu ya binadamu kuwa endapo matatizo ya kimazingira kama hayatashughulikiwa basi kufikia mwaka 2050 binadamu atakayeishi kipindi hicho akifikisha miaka 25 atakuwa anamuonekano kama mtu wa miaka 50. Kwa maana rahisi binadamu atakuwa anawahi kuzeeka.Katika historia tumejifunza kitu kinachoitwa human evolution ambapo tunaambiwa binadamu wa leo(modern man) alitokana na viumbe fulani (apelike ancestors) ambao walibadilika na hatimae akapatikana binadamu wa sasa. Evolution imehusisha vitu vingi kuanzia maumbile na hata maendeleo ya ubongo wa binadamu kama vile size of brain, n.k.Kwa uelewa zaidi, Soma "introduction to human evolution".
Wataalamu wanatuambia evolution imekamilika ila mwenzenu baada ya kuangalia taarifa ya habari usiku huu katika chombo kimoja cha kimataifa na kushuhudia madudu ya kisiasa katika nchi kadhaa za bara fulani na namna watu wengi katika nchi hizo walivyo nikilinganisha na watu wa mabara wengine,nachelea kusema evolution(brain evolution) katika bara hilo bado inaendelea na labda vizazi vijavyo ndio vitakuja kuwa bora zaidi lakini sio kizazi kilichopo sasa.
Nimeangali taarifa hiyo ya habari nimeona jinsi maswala ya uchaguzi yanavyofanywa hovyo hovyo huku kiongozi mwingine nae akibadili katiba na cha ajabu zaidi kuna watu wengi tu wanakubaliana na mambo haya.Yaani watu wa hilo bara akili zao zimeshikwa na wanasiasa kiasi cha wao kutojitambua kabisa na kuendeshwa na wanasiasa hawa mithili ya gari bovu.
Nikajiuliza hivi katika mabara mengine mambo haya bado yapo kweli?Baada ya kutafakari sana,nikajikuta nafikia conclusion kuwa kuna mabara kama mawili hivi ambapo moja ndio likiwa kinara,huenda watu wake bado wana-undergo mental evolution tofauti na watu wa mabara mengine ambao hii process kwao ilishakamilika.
Ni kweli kabisa kuwa mazingira ni factor mojawapo ya evolution lakini hilo bara na watu wake mhh!Sidhani kama evolution itakuwa imefika mwisho kwa sababu dependent facor ya evolution ni ni mazingira. Kwa mfano ukiwachukua vipepeo wenye rangi nyeupe ukawaweka waishi vizazi na vizazi takribani miaka elfu katika mazingira yaliyo na moshi mweusi wa viwanda probably hao vipepeo watabadilika rangi na kuwa weusi. Nadhani kama unakumbuka vizuri kuliwahi kuelezwa jambo moja na watu walifanya utafiti wa effect ya uharibifu wa mazingira juu ya binadamu kuwa endapo matatizo ya kimazingira kama hayatashughulikiwa basi kufikia mwaka 2050 binadamu atakayeishi kipindi hicho akifikisha miaka 25 atakuwa anamuonekano kama mtu wa miaka 50. Kwa maana rahisi binadamu atakuwa anawahi kuzeeka.
Lakini nikukumbushe jambo moja kwa sasa binadamu hatupishani kimabara katika saizi ya ubongo. Kwani ni bara gani ambalo bado lina primitive creatures?
Ni bara gani mkuu ambalo unahisi lina-undergo evolution? Mimi ninachofahamu kwa sasa kinachotutofautisha ni jinsi huo ubongo unakua umeendelezwa je hasa kwenye intelligence region.Ni kweli kabisa kuwa mazingira ni factor mojawapo ya evolution lakini hilo bara na watu wake mhh!
Process gani!Sio kosa lako uko kwenye hiyo process.
this is nonsenseMuafirika bado yuko kwenye evolution mpaka ngozi ije ibadilike iwe nyeupe unafikiri ni Leo?
Miaka 100,000 mbele
Hii ndiyo tunaita evolutionthis is nonsense
still nonsenseHii ndiyo tunaita evolution
Kama wewe uko kwenye evo .000001
Wewe ni kiboko kwa sababu unaenda. -.000000001still nonsense
still nonsenseWewe ni kiboko kwa sababu unaenda. -.000000001
still nonsense