Tuko JF-Expert Member Jul 29, 2010 11,178 7,320 Jan 23, 2011 #1 Huyu jamaa kafanana sura, sauti, kauli, na mtazamo na Lipumba. Ni mwanae au...
Mpevu JF-Expert Member Nov 23, 2010 1,805 173 Jan 23, 2011 #3 Aongeapo ni mithili ya Lipumba, kwani mtatiro asili yake ni wapi?
Nduka JF-Expert Member Dec 3, 2008 8,552 2,360 Jan 23, 2011 #4 Tuko said: Huyu jamaa kafanana sura, sauti, kauli, na mtazamo na Lipumba. Ni mwanae au... Click to expand... na mimi huwa majiuliza sauti ya Mheshimiwa Halima Mdee mbona inafanana mikwaruzo na ile ya Slaa au nayeye ni mtoto wake?
Tuko said: Huyu jamaa kafanana sura, sauti, kauli, na mtazamo na Lipumba. Ni mwanae au... Click to expand... na mimi huwa majiuliza sauti ya Mheshimiwa Halima Mdee mbona inafanana mikwaruzo na ile ya Slaa au nayeye ni mtoto wake?
Tuko JF-Expert Member Jul 29, 2010 11,178 7,320 Jan 23, 2011 Thread starter #5 Mjepu said: na mimi huwa majiuliza sauti ya Mheshimiwa Halima Mdee mbona inafanana mikwaruzo na ile ya Slaa au nayeye ni mtoto wake? Click to expand... Ha ha haa, inawezekana ni stail ya kupata umaarufu kwa kuiga sauti za wakubwa. lol
Mjepu said: na mimi huwa majiuliza sauti ya Mheshimiwa Halima Mdee mbona inafanana mikwaruzo na ile ya Slaa au nayeye ni mtoto wake? Click to expand... Ha ha haa, inawezekana ni stail ya kupata umaarufu kwa kuiga sauti za wakubwa. lol
Mpevu JF-Expert Member Nov 23, 2010 1,805 173 Jan 23, 2011 #6 Mjepu said: na mimi huwa majiuliza sauti ya Mheshimiwa Halima Mdee mbona inafanana mikwaruzo na ile ya Slaa au nayeye ni mtoto wake? Click to expand... Mjepu, Signature yako nimeipenda, kweli ni sumu.
Mjepu said: na mimi huwa majiuliza sauti ya Mheshimiwa Halima Mdee mbona inafanana mikwaruzo na ile ya Slaa au nayeye ni mtoto wake? Click to expand... Mjepu, Signature yako nimeipenda, kweli ni sumu.
C chamajani JF-Expert Member Sep 22, 2010 552 31 Jan 23, 2011 #7 Mjepu said: na mimi huwa majiuliza sauti ya Mheshimiwa Halima Mdee mbona inafanana mikwaruzo na ile ya Slaa au nayeye ni mtoto wake? Click to expand... Mjepu, umemfanya huyu jamaa awe mdogo sn na hoja yake hii shallow ya ki-comedy
Mjepu said: na mimi huwa majiuliza sauti ya Mheshimiwa Halima Mdee mbona inafanana mikwaruzo na ile ya Slaa au nayeye ni mtoto wake? Click to expand... Mjepu, umemfanya huyu jamaa awe mdogo sn na hoja yake hii shallow ya ki-comedy
Gosbertgoodluck JF-Expert Member Mar 3, 2008 2,855 401 Jan 23, 2011 #8 Ni kuigana tu. Kwanza sidhani kama lipumba ana mtoto.
Twilumba JF-Expert Member Dec 5, 2010 11,549 12,414 Jan 23, 2011 #9 Gosbertgoodluck said: Ni kuigana tu. Kwanza sidhani kama lipumba ana mtoto. Click to expand... ......................????
Gosbertgoodluck said: Ni kuigana tu. Kwanza sidhani kama lipumba ana mtoto. Click to expand... ......................????
Rugaijamu JF-Expert Member Jul 10, 2010 2,942 1,294 Jan 23, 2011 #10 mpevu said: Aongeapo ni mithili ya Lipumba, kwani mtatiro asili yake ni wapi? Click to expand... tarime
mpevu said: Aongeapo ni mithili ya Lipumba, kwani mtatiro asili yake ni wapi? Click to expand... tarime