Mgombea ubunge jimbo La Segera J. Mtatiro Leo kaanza kampeni Mitaa ya Vingunguti.
Nimevutiwa sana na namna unavyojenga hoja. All in All nakutakia kila la heri.
we are moving forward! Change is now! Big up mtatiro
Mtatiro yuko vizuri kiongozi, kale kabinti kaache ujinga kabisa, hakawezi kumfikia Mtatiro kwenye ujengaji hoja! Mtatiro SEGEREA - Ushindi SAA 2 asubuhi!!
Ukawa lazima wafanye maamuzi kwa wakati kuhusu jimbo la segerea, sisi wananchi wa jimbo la segerea ambao sio wanachama wa vyama vya siasa tungependa mwakilishi wa ukawa awe Julius Mtatiro. Tunaomba sana, yule binti wa chadema awekwe kando.