Mtatiro aumbuka

Aliyekwambia justification ya performance na capacity ya mtu ni kuajiriwa ni nan? Wewe uliyeajiriwa umemshinda nin? Kiongoz WA nchi lazima ajifunze kuongea kauli zinazounganisha na kuleta umoja katika taifa na sio uchochez na kubagua watu.
hasante sana kwa kuliona hili, nimesoma japo kwa haraka pia nami nimeona kuwa mwandishi anaamini kuwa mwenye kazi ni yule tu aliye ajiliwa, kisha anasema kuwa cuf inapokea ruzuku ya takribani m 600. ...................alafu namsema kuwa anajikomba kwa rais ampe kazi??????
 
Wafuasi wa lipumba kwanini msinge mshauri kipindi anajiuzuru asijiuzuru mlijua asijiuzuru ataibomoa ukawa na cuf na mwenyezi MUNGU amewaonyesha cuf sasa sio ile ya lipumba alipokuwa mwenyekiti
 
We mpuuzi upuuzi wako upeleke lumumba siyo humu.

 
Wewe utakuwa unafikiri kwa kutumia MAKALIO
 
Haya tumekusoma, subiri zawadi ya ukuu wa wilaya mura!
Ila jiepushe na hasira kabla hujaanza kuandika post
 
Nina wasiwasi kwanza Kama kweli wewe ni Mwanachama wa Cuf, au umetumwa? Maana Kauli za Rais alizotoa Jana na Juzi ni wazi ni zenye Ukakasi, Chuki na Visasi. Haitaji uwe umekwenda Shule kukemea Kauli zile, Inawezekana Hujui hata kilichomfanya Mtatiro akose Ubunge Pale Segerea, Maana Ukichukua kura za Mtatiro na Za Yule dada wa Chadema Kama wangekubaliana, ni wazi CCM wangepoteza Jimbo. Tatu sidhani kama ww hapo Ulipo unakazi ya kuja hapa mbele na kusema wenzio hawana Ajira, kwanza Hulingani na Mtatiro kwa Chochote zaidi ya Unafiki wako uliyoleta hapa. Mitanzania kama nyinyi mi mbumbumbu sijuhi hata mnatokea wapi. Kama Lowassa alimshinda Magufuri Zanzibar unasemaje CCM walishinda. Ebu Leta hoja za Msingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…