Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,623
- 164,679
Angalau waendelee kutukumbusha Wadanganyika maana tunaishi kwa matukio. Ila hawa wahanga wa unyama huu nao wamekaa kimya tokea wamepona. Sasa tumehamia kwa balozi wa china na jukwaa la ccm. Tunasubiri movie mpya
dawa sio kukumbusha bali ni kuweka wazi aliyehusika, ukichochea vurugu na chuki kama wanavyofanya mtz, ipo siku yatakukuta kama ya akina ruto na yule mwandishiHili ndio jukumu la vyombo vya habari.Hatutarajii tukio likipita hata liwe la uovu wa kiwango gani basi ndio liwe limepita jumla.
Najua kuna watu watasema labda kwasababu Kibanda alikuwa mhariri wa gazeti hilo ndio maana leo wamekumbusha udhalimu huu.Lakini embu tujiulize CHANNEL 10 wamewahi kukumbusha nini kuhusu mwandishi wao marehemu Daudi Mwangosi?
"Better late than never"
Hili ndio jukumu la vyombo vya habari.Hatutarajii tukio likipita hata liwe la uovu wa kiwango gani basi ndio liwe limepita jumla.
Najua kuna watu watasema labda kwasababu Kibanda alikuwa mhariri wa gazeti hilo ndio maana leo wamekumbusha udhalimu huu.Lakini embu tujiulize CHANNEL 10 wamewahi kukumbusha nini kuhusu mwandishi wao marehemu Daudi Mwangosi?
"Better late than never"
Gazeti la leo la Mtanzania(Mtanzania Jumatano) limebeba habari kubwa chini ya kichwa cha habari "Serikali yanuka damu).Katika habari hiyo gazeti hilo limeelezea mlolongo wa matukio ya kigaidi wanaofanyiwa raia kama kutobolewa baadhi ya viungo vya mwili,mauaji katika mikusanyiko ya kisiasa na matukio ya watu kumwagiwa tindikali huku likilaumu serikali kwa kushindwa kuwakamata na kuwachukulia hatua wahusika wa vitendo hivyo.
Mbali na kuelezea matukio hayo,gazeti hilo pia limechapisha picha za waathirika wa vitendo hivyo vya kigaidi.Picha hizo katika ukurasa wa mbele ni zile za akina Dr.Ulimboka,Absalom Kibanda na picha kadha za watu waliomwagiwa tindikali.
Katika habari hiyo gazeti linadai kuchapisha maelezo ya watu mbalimbali ambao wametafsiri vitendo hivyo kuwa ni sawa na kusema serikali nanuka damu kwani vyombo vya dola ndio vinavyolaumiwa kutenda unyama huo na kuishangaa serikali kwa kutokuchukua hatua dhidi ya wahusika.
MY TAKE:
GAZETI LIKO SAHIHI KABISA KUCHAPISHA HABARI HIYO NA KUCHAMBUA MATUKIO HAYO.LAKINI SITASHSNGAA KUSIKIA GAZETI HILO LIKIPATA VITISHO KUTOKA SERIKALINI NA PENGINE HATA KUTUHUMIWA KWA UCHOCHEZI.
HII NDIO KAZI NZURI YA VYOMBO VYA HABARI.
BIG UP MTANZANIA JUMATANO KWANI UJUMBE UMEFIKA!

nachukia udhalimu, nachukia uchochezi nachukia chuki na hasama. kweli kabisa. mtz sio gazeti la kusoma

Yaan wew jamaa kila mchango unaouandika ni kupingana na wanaotoa lawama dhidi ya uchafu na udhaifu unaonekana machoni pa jamii ya kitanzania!! Hivi huwa unalipwa nn kutetea upuuzi?mtanzania damu damu na tanzania daima. full udaku na uchochezi
huwa ni kawaida mwizi kumsifia mwizi mwenzake hata wahuni kama chadema husifiwa na wahuni wenzao.
Sikushangai kwa haya maneno yako na hili gazeti lako kwa kuwa upe wenu unafanana hakuna jpya katika hili.
Hutafanikiwa kamwe slaa mwenyewe alijaribu kashindwa sasa wadogozake kama nyie ndiyo mnahangaika.
Mkuu nasoma sana uchangiaji wako humu JF,huwa unanishangaza sana.....
Yaan wew jamaa kila mchango unaouandika ni kupingana na wanaotoa lawama dhidi ya uchafu na udhaifu unaonekana machoni pa jamii ya kitanzania!! Hivi huwa unalipwa nn kutetea upuuzi?