Mtanzania Ramadhan Dau ni mmiliki wa timu ya mpira ya NewCastle United ya Uingereza

kbm

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
5,224
1,676
Mtanzania Ramadhan Dau imebainika kuwa ni mmoja wapo wa wamiliki wa timu ya mpira ya New Castle United ya Uingereza. Gazeti lisema anajumla ya shilling billioni 100 za Kitanzania.

Chanzo: Dira
20160418_051834.jpg
 
Mtanzania Ramadhan Dau imebainika kuwa ni mmoja wapo wa wamiliki wa timu ya mpira ya New Castle United ya Uingereza.

Chanzo: Dira
Habari yako haijakamilika, aidha weka link hapa au weka hiyo page ya gazeti..
Otherwise stop it please.
 
Ana miliki zaidi ya billion 100 kwenye akaunti yake, kwahiyo hiyo timu ikishuka daraja bado anazo pesa zakutosha!
20160418_051834.jpg
 
Mkuu,

Sahihisha kichwa cha habari, labda Dr. Ramadhani Dau ana hisa kadhaa ktk klabu ya Newcastle United.

Mmiliki wa Newcastle United ni Mike Ashley : Owner Mike Ashley says he regrets buying Newcastle for £134m (Tshs. Billioni 400) in 2007 Mike Ashley says Newcastle United have 'virtually nothing left' in bank

Hisa ni umiliki! Ukimiliki asilimia kumi ya Hisa za New castle maana yake unaimiliki New castle kwa asilimia 10!
Kusema Uongo sio kazi, kazi ni kuutetea Uongo!
Dr. Dau ni mmoja wa Wamiliki wa Newcastle.

Chanzo Gazeti la Dira! Hahah.Taifa lina uhaba wa wataalamu wa Propaganda kama walivyokuwa kina Mzee Paul Sozigwa wa RTD 1970s.
 
Si unaona waingereza wanasema ''Owner Mike Ashley says he regrets buying Newcastle for £134m (Tshs. Billioni 400) in 2007 Mike Ashley says Newcastle United have 'virtually nothing left' in bank''

Sasa owner na shareholders ni vitu viwili tofauti, Dr. Ramadhani Dau labda anamiliki hisa ktk klabu ya Newcastle United.

Ownership
In 2007, businessman Mike Ashley purchased the combined stakes of both Douglas and John Hall, 41% share in the club, through a holding company St James Holdings, with a view to buy the rest.[100] Upon purchasing this share, he appointed Chris Mort as chairman, while gaining more shares, owning 93.19% of the club by 29 June 2007.[101] This figure reached 95% on 11 July 2007, forcing the remaining shareholders to sell their shares.[102]

Since completing the purchase of the club, Ashley has twice announced that he planned to sell the club. The first occurred after fan protests over the resignation of Kevin Keegan on 14 September 2008, when Ashley stated, "I have listened to you. You want me out. That is what I am now trying to do."[103] However, he took it off the market on 28 December 2008 after being unable to find a buyer.[104] On 31 May 2009, it was reported that Ashley was attempting to sell the club again.[105][106] On 8 June 2009, Ashley confirmed that the club was up for sale at an asking price of £100 million.[107] By the end of August 2009, the club was back off the market
 
Usijidanganye! Ownership ya Kampuni ipo kwny share unazomiliki. Nguvu na ushawishi wa kufanya Maamuzi kwny bodi inategemea idadi au % ya share unazomiliki. Ashley anaweza kuitwa Mmiliki kwa kuwa ana share nyingi zaid kwa hiyo determinant ya umiliki ina base kwny share unazomiliki na si vinginevyo.
 
Aisee, Kama vipi anisajili na Mimi nikakalie hata bench premier league.
 
Nataka nione shareholders agreement. Pia sioni ubaya kununua share moja kama kwa shilingi elf 50
 
Jamani tatizo sio kumiliki timu, tatizo ni kuwa; kaanzia wapi kuwa na huo uwezo kujitumbukiza kwenye umiliki. Dr dau, jisemee hata kutishia kulifungia hilo gazeti hovyo namna hiyo linalotoa habari ka hiyo.
Kumbe ndo maana JPM kakutosa? Nafurahishwa saana na Wabongo, mkiisha jichumia kwenye shamba la bibi mnaenda kujitanulia hukooo majuu. Dr si ungelinunua hata jumba la senema ukalifanya msikiti? Si ungelipata thawabu??
 
Usijidanganye! Ownership ya Kampuni ipo kwny share unazomiliki. Nguvu na ushawishi wa kufanya Maamuzi kwny bodi inategemea idadi au % ya share unazomiliki. Ashley anaweza kuitwa Mmiliki kwa kuwa ana share nyingi zaid kwa hiyo determinant ya umiliki ina base kwny share unazomiliki na si vinginevyo.

Kwa hiyo umekubali mpaka uwe na ''umiliki'' vigezo na masharti lazima kuzingatiwa . Hivyo Dr. Ramadhani Dau hajatimiza masharti na vigezo vya kuwa mmiliki wa Newcastle United.

Na siyo tu kwenye suala la habari hii bali hata unaponunua hisa sehemu yoyote kufikia ngazi ya umiliki ni safari ndefu tutaishia kusubiria mgao wa faida lakini si umiliki wala kufanya maamuzi makubwa ya mustakabali wa kampuni tuliponunua hisa.

soma nakala hii ya uzi wa JamiiForums Soko la Hisa la Dar es Salaam, na orodha ya makampuni yaliyosajiliwa
 
Back
Top Bottom