Mtanzania Joyce Msuya ateuliwa kuwa Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Umoja wa Mataifa Mazingira

Wenye pesa hawana longolongo kwenye elimu za watoto wao ndio maana wakigraduate wanapiga box kwenye taasisi za maana.Kajamba nani kufanya kazi halmashauri na salary ya 700,000 hapo bado makato.
Naona hata Degree yake ya kwanza hajaipata bongo!
ana background ya Familia bora
 
Asante boss kwa kung'amua hilo. Pengine ungeongezea na magari mazuri ya UN na VIP treatment wakisafiri (airport na 5-7 star hotel), mishahara minono kwa USD lakini binafsi sionag la maana UN walichofanya.

hahahaha..Mkuu ni minono kwa kulinganisha na mishahara yetu Lakini sidhani kama wanalipwa hela ya kutisha kama private sectors...
 
Dah... Ungesema Elimu bora...Ingependeza sana....
acha wivu we mzaramo
tamwimu za mwaka 2017, za NBS zinaonyesha Kilimanjaro n mkoa wa pili watu wake kuishi makaz bora na uchumi mkubwa
nyumba ya kulala mbuz Kilimanjaro n nzuri kuliko unayolala ww
 
Back
Top Bottom