Mtanzania Kapata Ajali Muscat Oman

Mtanzania Kapata Ajali Muscat Oman

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
14,242
Reaction score
34,917
Taarifa kutoka MUSCAT,OMAN zinasema Mtanzania Kapata ajali na ndugu zake hawajulikani.Ubalozi umefungwa siku 3 za sikukuu
 

Attachments

  • Ctm843LXgAAocBs.jpeg
    Ctm843LXgAAocBs.jpeg
    32 KB · Views: 105
Yupo hospitalini..ameungua na moto wa gesi sura yake pia imeungua sana mpk huwezi kumtambua
 
Asante kwa taarifa,
Acha tusubirie habari kamili,maana kufungwa kwa ubalozi sio tatizo
Issue ni mawasiliano tu,Oman watanzania wengi sana
 
Back
Top Bottom