Mtanzania mwenye makazi yake nchini Marekani ameanzisha kampuni ya simu itwaya umojaphone kwa ajili ya international calls, na bei ni poa kulinganisha na makampuni mengine kama vile VOIP na SKYPE. Unaweza kupiga simu kutoka kwenye landline yako, mobile na kwenye pc yako.
Kwa maelezo zaidi tembelea hapa: MNYONGE MNYONGENI LAKINI HAKI YAKE MPENI!
Website yao inasema tusilanguliwe kwa kutumia phone card nyingine lakini wao ndio walanguzi kwa sababu ya bei yao.
Welcome to UmojaPhone.com
Don't get ripped off by calling cards anymore, sema HAPANA sasa!. UmojaPhone.com lets you stay in touch ...at the lowest international calling rates and with the best quality. With our fantastically cheap rates to East Africa, you can make calls for as low as 8.9cents per minute to Kenya mobiles and 17.9cents per minute to Tanzania mobiles.
Sasa bei ya 17.9 cents per minute is not something to write home about, kwa sababu, bila kutangaza biashara ya mtu, zipo phone card zenye gharama ya chini zaidi kwa kupiga Tanzania.
Website yao inasema tusilanguliwe kwa kutumia phone card nyingine lakini wao ndio walanguzi kwa sababu ya bei yao.
Welcome to UmojaPhone.com
Don't get ripped off by calling cards anymore, sema HAPANA sasa!. UmojaPhone.com lets you stay in touch ...at the lowest international calling rates and with the best quality. With our fantastically cheap rates to East Africa, you can make calls for as low as 8.9cents per minute to Kenya mobiles and 17.9cents per minute to Tanzania mobiles.
Kwa nini?
hata mimi nina wasiwasi huo Wakenya wanapenda kutumia mgongo wa watanzania kufanikisha mambo yao,nasikia kaharufu ka ukenya ukenya hivi kwente hiyo mishemisheHuyu jamaa siyo mtanzania ni mkenya...