Mtanzania mwenye makazi yake nchini Marekani ameanzisha kampuni ya simu itwaya umojaphone kwa ajili ya international calls, na bei ni poa kulinganisha na makampuni mengine kama vile VOIP na SKYPE. Unaweza kupiga simu kutoka kwenye landline yako, mobile na kwenye pc yako.
Gama acha wivu na mtizamo wako wa kijima. Nina moyo wa kizalendo kuwapasha habari watanzania waishio ughaibuni ili waweze kuwasiliana na nyumbani kupitia kampuni ya mtanzania mwenzao. Acha ufisadi wako wa kimawazo.