mmakonde mjanja
JF-Expert Member
- Jun 7, 2016
- 288
- 128
Samahani Mimi mmakonde Na wewe sisi Ni watani
Ivi Mtani maendeleo Ni kumshusha wajuu ili awe masikini au kupandisha wa chini awe tajiri?
Ivi Mtani matamko mengine kwanini usinge mwachia yule ambae nae Ni Mtani wako ambae AME JALIWA
ili ukingundua ulijichanganya ujifanye kumkosoa nawe uendelee kuosha jina kua Ni mtetezi wa wanyonge tena waongeze maombi . Mhhh Mtani bhana eti wanyonge, na wale ulio watetea ?
Mmoja kaka yangu, wapili ,ni jirani bandari yakwao ikiisha utaenda kuifungua huyu watatu njia moja nawewe nae atakua nimtani wangu .
Mtani sipendi neno mwendokasi, kukurupuka, wala neno mizuka