Muda si mrefu wataruhusiwa kuoa. Tena Slaa ni nafuu amekuwa wazi. Kule kuna wanaofanya kwa kificho na wengine wana mitara na watoto kibao mitaani. Bora ya Slaa aliyekuwa mkweli kwa kuacha upadri kuliko kuendelea kuwa padri kwa unafiki. Si umesikia mpaka papa kaomba radhi kutokana na makosa yaliyofanywa na mapadri kuwalawiti watoto kule Marekani?