yupo smart kichwani au muonekano???Ni mtangazaji mzuri sana wa habari za Biashara na uchumi kwa hapa bongo. Jamaa siku zote yuposmart sana!
Mtangazaji huyu wa habari za uchumi na biashara wa kituo cha TBC1 anaonekana mtu wa maji sana, kwani muda mwingi akiwa anasoma habari hupepesuka kunakotukuka huku mikono ikitetemeka mno kwenye zile karatasi za taarifa ya habari.
Baniani mbaya ila kiatu chake dawa!
Kutetemeka kwa mnywaji? Hapana. Labda awe amepoteza wallet.Daah kumbe kupepesuka na kutetemeka ni dalili ya kulewa siku hizi
Kiukweli jamaa ni moja ya watangazaji wazuri sana. Lakini pia ni mnywaji mzuri sana pia. Nafikiri tustik kwenye kazi yake. Mbaya angekunywa kiasi cha kushindwa kutekeleza majukumu yake