Mtangazaji makini lakini...........

Mtangazaji makini lakini...........

Joined
Sep 28, 2012
Posts
87
Reaction score
32
Huwa ninamkubali bibi Fatma Almas Nyangasa kwa jinsi anavyojitahidi katika kazi yake ya utangazaji. Kwa ujumla anafaa sana.
Lakini kwa muda fulani sasa nimegundua anapokuwa kazini Alfajiri (12.00 na kuendelea) huwa amenyongónyea sana, anaoneka kutokuwa na furaha na pia kama vile bado yuko usingizini. Hali hii huonekana hata kumharibia siku zima awapo kazini. Wapo wanao categorize watu na wangewezasema kuwa huyu dada "si mtu wa asubuhi". Anyway, sijui ni nini lakini kama ni shida sana basi Boss wake akae naye na kulijadili hili tatizo maana kuwa mbele ya screen ya TV tena yenye coverage kubwa (kwa nchi yetu) kama ITV; muonekano mzuri wa mtangazaji ni wa muhimu sana!

Vinginevyo huwa kuna mafunzo maalum of a rehab type katika kumsaidia katika matatizo kama hayo ili kumboresha zaidi ndani ya mass com business. CEO - ITV tatizo likizidi funguka usaidiwe.
 
Acha kuchunguza wake za wtu wee,huji kila mtu asubuhhi hua sura haijachangamka?
 
Back
Top Bottom