Kuna siku nilikula msosi sehemu wakanipa lipa namba ya Mpesa nilipe, aisee kwenye Airtel yangu nimekatwa, kwenye Mpesa yao haijafika kuna tatizo.., aisee, kidogo niaibike, na sikuwa na cash kabisa.., pesa imekuja kurudi kwangu baada ya wiki…, ikabidi niende kwenye ule mgahawa kuirudisha..