Prof_Adventure_guide JF-Expert Member Joined Dec 21, 2023 Posts 529 Reaction score 1,494 Nov 30, 2025 #1 Habari wana JF nataka kufahamu kama kuna changamoto yeyote kwenye mtandao wa twitter X ! Maana Nafungua lakini inagoma, kama kuna mfungo wa huu mtandao naomba maelezo kutoka kwa wale watumiaji wa twitter X
Habari wana JF nataka kufahamu kama kuna changamoto yeyote kwenye mtandao wa twitter X ! Maana Nafungua lakini inagoma, kama kuna mfungo wa huu mtandao naomba maelezo kutoka kwa wale watumiaji wa twitter X
comrade_kipepe JF-Expert Member Joined Jun 25, 2019 Posts 8,295 Reaction score 16,738 Nov 30, 2025 #2 Kwani hujui bila VPN huingii ina kama mwaka hivi? Au ndio upo nyuma ya mda
Lalo Salamanca JF-Expert Member Joined Dec 9, 2012 Posts 1,557 Reaction score 1,169 Nov 30, 2025 #3 Weka VPN, ni Mwaka na zaidi tunaishi hivo. Hata Page za Serikali zinatumia VPN.
Tronics guru JF-Expert Member Joined May 19, 2016 Posts 10,372 Reaction score 7,981 Nov 30, 2025 #4 Exposure kisoda
Prof_Adventure_guide JF-Expert Member Joined Dec 21, 2023 Posts 529 Reaction score 1,494 Nov 30, 2025 Thread starter #5 comrade_kipepe said: Kwani hujui bila VPN huingii ina kama mwaka hivi? Au ndio upo nyuma ya mda Click to expand... Ninatumiaga vpn lakini leo imekataa kabisa
comrade_kipepe said: Kwani hujui bila VPN huingii ina kama mwaka hivi? Au ndio upo nyuma ya mda Click to expand... Ninatumiaga vpn lakini leo imekataa kabisa
Prof_Adventure_guide JF-Expert Member Joined Dec 21, 2023 Posts 529 Reaction score 1,494 Nov 30, 2025 Thread starter #6 Lalo Salamanca said: Weka VPN, ni Mwaka na zaidi tunaishi hivo. Hata Page za Serikali zinatumia VPN. Click to expand... Ndio najua na natumiaga VPN lakini leo inegoma
Lalo Salamanca said: Weka VPN, ni Mwaka na zaidi tunaishi hivo. Hata Page za Serikali zinatumia VPN. Click to expand... Ndio najua na natumiaga VPN lakini leo inegoma