Systems hizi bwana kuna time unajishau kidogo au ukafanya uzembe kidogo kwenye kufanya updates au upgrades unashtukia umeleta mkanganyiko mkubwa wa kuathiri kabisa watumiaji / wateja.
Post ya hovyo kabisa yaani hueleweki unauliza, unatoa taarifa, unalalamika au vipi, mbaya zaidi kabla watu hawajachangia uzi tayari umeshaleta suluhisho.