Mtandao wa kijeshi Marekani wadukuliwa

RUCCI

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2011
Posts
1,702
Reaction score
1,716
Jeshi la Marekani lilisimamisha kwa muda mtandao wake baada ya kisa cha kuingiliwa kimitandao.

Jeshi la Syria la Electroniki - linalomuunga mkono Rais Bashar al-Assad - limesema katika mtandao wake wa kijamii wa Twitter, kuwa ndilo lililotekeleza shambulizi hilo la kimitandao.

Lakini habari za hivi punde zasema kuwa mtandao huo wa jeshi la Marekani umerejeshwa.

 

Attachments

  • 17.si.jpg
    13.2 KB · Views: 1,470
Mkuu hawa watu ni waongo sana na wanavyoisingizia nchi kama China Hawana hata evidence,they are very irresponsible just like China said.
Wacha nikuambie jaribu kufuatilia kila law ambayo inataka kupitishwa na U.S. kama ambavyo sasa hivi OBAMA anavyotaka kusign cyber law mara nyingi tukio la kihalifu linalohusu hiyo sheria lazima litokee so as to justify the law and get blessings from US congress.
Always propaganda and bluffing.
 
Jeshi la Marekani lilisimamisha kwa muda mtandao wake baada ya kisa cha kuingiliwa kimitandao. Jeshi la Syria la Electroniki - linalomuunga mkono Rais Bashar al-Assad - limesema katika mtandao wake wa kijamii wa Twitter, kuwa ndilo lililotekeleza shambulizi hilo la kimitandao. Lakini habari za hivi punde zasema kuwa mtandao huo wa jeshi la Marekani umerejeshwa.
 

wana mipAngo mirefu mno. angalia laws zilizokuwa signed baada ya September 11th.wamebana haki kwa raia na kuwapa jeshi nguvu zaidi.niliwahi soma kitabu kinaitwa the world terrorists.. kimeandikwa na mmarekani. though kilikuwa biased still kiliongea wazi juu ya mpango wa kumuandaa osama...
 
hivi wanatambuaje kuwa WAMEDUKULIWA kama wao si WADUKUAJI?
 
hivi wanatambuaje kuwa WAMEDUKULIWA kama wao si WADUKUAJI?

Kuna alert kwenye software zao zinaonyesha kwamba unrecognise intruder.....
Ndo nao wanazima server zao. Lakini nasikia russia ndo wazuri sana kwenye ku hack, na kama syria wamefanya hivyo ni under russian supervission
 
inamaana huu mwaka ni wa dukuana nasika kila mtu analalamika amedukuliwa
 
Vita hii hatujui itaisha lini but kiukweli mataifa makubwa yanapambana sana hasa kutaka kuimarisha usalama na kutawala uchumi. Bado tutasikia na kushuhudia mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…