Nineuliza watu zaidi ya 4Sehemu tofauti wanaitumia Mtandao wa Internet TTCL uko Chini Mnooo Tangu Jana,Ni Either unahujumiwa kwa sababu za Kibiashara au Kuna Tatizo,Makampuni Mengine ya Mtandao hii Kitu ikitokea tuu...Utaona Meseji za Samahani zinakuja na wanakutaarifu kuwa kulikuwa na Tatizo Wako Kibiashara zaidi,Lakini TTCL no body cares!
Ahsante Mhudumu wa TTCL japo wewe umenisikiliza