The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 18,159
- 51,091
Punguza,chuki,wivu na ubinafsi.Sijui kwa nini mimi ni mgumu kulike jamani. Picha inaweza kuwa nzuri au habari lakini wala siilike
Punguza,chuki,wivu na ubinafsi.Sijui kwa nini mimi ni mgumu kulike jamani. Picha inaweza kuwa nzuri au habari lakini wala siilike
free Mandela sahiv wife hatoona mkuu😂😂Shetan nazidi kujimwambafai
FB, Tweeter, Instagram na Badoo naiskiaga tu kwa Watu lkn sijawahi na sitakuja kuhangaika na hiyo mitandao kamwe, eeeh Mungu nisaidieMtandao mwingine wa hovyo ni FB
Watu wamekaa more than 6 years halafu eti wa hovyo!FB, Tweeter, Instagram na Badoo naiskiaga tu kwa Watu lkn sijawahi na sitakuja kuhangaika na hiyo mitandao kamwe, eeeh Mungu nisaidie
Watu wamekaa more than 6 years halafu eti wa hovyo!
HahahahaHii ni habari mbaya kwa warumi
Kwahiyo iyo simu yako unatumia wapi na wapi..nunua bontel tu.FB, Tweeter, Instagram na Badoo naiskiaga tu kwa Watu lkn sijawahi na sitakuja kuhangaika na hiyo mitandao kamwe, eeeh Mungu nisaidie
AiseeePunguza,chuki,wivu na ubinafsi.
Ooh nilifikiri hiyo ni normal tu,kua hamaa yako anapenda mahagaPale unakuta husband kutwa analike tako la sanchi
You tube, Google , WhatsApp, JF tu, kwani unateseka sana?Kwahiyo iyo simu yako unatumia wapi na wapi..nunua bontel tu.
Ngoja niwahi account ya mbowe kabla yaijawa modified