Hata Chura kiziwi naye anatuibia. Jana kasema ameahusha bei za internet, wananchi hatujaona punguzo Hilo la beiWakuu nawataarifu msinunue mabandle kwenye halotz...wanaiba hela kwa nguvu
1. Nilikuwa na dkk zaidi ya 600 za mwezi zilitakiwa ziishe 20 July lakini zimeipotea yaan ukiangalia salio ni zero na sijazitumia
2. Nilinunua GB 1 jana usiku nikaingia fb dkk moja nikalala asubuh nikakuta no data nikanunua ten GB moja dkk 1 nimeingia fb ikawa inaload kuja kuchen kwenye * 102 # nikakuta no sms, no dkk no data ...natafta mwanasheria nigungue kesi mahakamani hawa ni wezi Shenfield zao
ππππWakuu nawataarifu msinunue mabandle kwenye halotz...wanaiba hela kwa nguvu
1. Nilikuwa na dkk zaidi ya 600 za mwezi zilitakiwa ziishe 20 July lakini zimeipotea yaan ukiangalia salio ni zero na sijazitumia
2. Nilinunua GB 1 jana usiku nikaingia fb dkk moja nikalala asubuh nikakuta no data nikanunua ten GB moja dkk 1 nimeingia fb ikawa inaload kuja kuchen kwenye * 102 # nikakuta no sms, no dkk no data ...natafta mwanasheria nigungue kesi mahakamani hawa ni wezi Shenfield zao
Hapa tukusaidieje? huna contacr za watu wa Halotel?Wakuu nawataarifu msinunue mabandle kwenye halotz...wanaiba hela kwa nguvu
1. Nilikuwa na dkk zaidi ya 600 za mwezi zilitakiwa ziishe 20 July lakini zimeipotea yaan ukiangalia salio ni zero na sijazitumia
2. Nilinunua GB 1 jana usiku nikaingia fb dkk moja nikalala asubuh nikakuta no data nikanunua ten GB moja dkk 1 nimeingia fb ikawa inaload kuja kuchen kwenye * 102 # nikakuta no sms, no dkk no data ...natafta mwanasheria nigungue kesi mahakamani hawa ni wezi Shenfield zao
Nawasanua msiibiwe mm nishahamia voda mkuuHapa tukusaidieje? huna contacr za watu wa Halotel?
Halotel miyeyushoMimi binafsi tangu nihamie halotel maisha yangu yamekuwa bora sana kimtandao. Line zingine zote napokelea call tu. Bado zote naweka za mwezi na simalizi. Minngine yite nimeshindwa