Malyenge
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 6,658
- 3,662
Wakuu leo mnamo tarehe 4 September 2020 saa 12 na dakika 38 asubuhi nililipa shilingi 39,000 kwa njia ya MPESA kumbukumbu kama ilivyoelezwa hapa chini.
*7I4843OEBBG Imethibitishwa. Tsh39,000.00 imetumwa kwa TIGO PESA kwenye akaunti namba 255679630929 tarehe 4/9/20 saa 6:38 AM. salio lako la M-Pesa ni Tsh132,516.94*.
*7I4843OEBBG Imethibitishwa. HALIMA NTANDU amepokea 39000.00 tarehe 20200904063830.*
Ilumbukwe kwamba namba hela ilikoingia ni tigo na mimi nimetumia voda.
Nilifanya malipo alipo haya ili nipate activation code ya kuweza kuhack simu ya mtu wangu.
Baada ya muda walinitumia activation code namba 00779
Lakini sekunde chache tu wakanitumia meseji hii hapa chini.
*SAMAHANI, tumezuilia Activation code yako, kuweza ku hack, kutokana na kutokamilika muamala wako*.
Nilishangaa sana. Nikawapigia simu zao zote zilizo kwenye mtandao na walizosema malipo yafanyike kwa kutumia namba hizo lakini zote hazikupatikana.
Namba hizo ni 0679630929; 0786040896 na 0682128862 ambayo wanasema ukishalipa meseji ya ushahidi wa muamala uitume kwenye namba hiyo ambayo wanasema iko kwenye whatsapp lakini ukweli haikusajiliwa kutumika na mtandao wa whatsapp.
Lakini nilishangaa walijuaje kuwa nimelipa wakati meseji ya whatsapp sikutuma maana namba ilionesha haikuunganishwa kwenye mtandao wa whatsapp lakini meseji ya kunitumia activation code ilikuja kama nilivyoeleza hapo juu.
Niliweza kutuma meseji kuwauliza kwa nini meseji imesema sijakamilisha muamala.
Walinijibu kama meseji inavyoonesha hapa chini.
*Mteja. inaonekana kulifanyika malipo hayo, na baadaye kutolewa kwenye Account yetu. Ahsante.*
Wakanitumia ushahidi wa meseji walioipata kutola mtandao wa tigo.
Hii hapa chini:
*Ombi la kuzuia Muamala: 11744260139, Kiasi: TSh 39,000 kutoka 25564000001 limefanyika. Salio lako jipya: TSh 1,169. Piga *150*01# kuruhusu au kukataa...*
Nikawaeleza kwamba aliyeyatoa malipo kwenye account ya DILLAXCOM ni nani? Hawakunijibu.
Nikaendelea kuwasisitizia kwamba nasubiri majibu.
Hii hapa chini ndio meseji waliyonijibu...
*Mteja, majibu gani unayasubiri toka kwetu, wakati wewe ndiye uliyetoa ombi la kuzuiliwa muamala uliofanya?*
Niliwaambia kwamba mimi sikutoa ombi la kuzuia muamala.
Nikachukua jukumu la kupiga simu vodacom huduma kwa wateja mnamo saa 9 na dk 47 mchana.
Wamenijibu kwamba pesa sh 39,000 imeingia kwenye namba 0679630929 na kwamba hakuna ombi lolote kutoka kwangu ama kwa mtu yeyote kuzuia muamala huo.
Nikarejea kuongea na hawa Dillaxcom kuwaelezea majibu niliyojibiwa na vodacom huduma kwa wateja.
Majibu waliyonijibu ni haya hapa chini...:
*Kumbe wewe si muelewa, omci la kuzuia muamala limetoka kwako kwenda tigo, ni vipi sisi tupoteze muda wetu kwa ujinga. Fuatilia mwenyewe.*
Niliwajibu kama ifuatavyo.
*Ombi la kutoka kwangu kwenda TIGO haiwezekani maana mimi nimetumia laini ya VODA kwa hiyo sina uwezo wa kupiga customer care ya TIGO na namba ya voda kuzuia muamala.
Chekini vizuri upande wenu. Mimi voda wamenihakikishia pesa imeingia kwenye namba 0679630929 na hakuna ushahidi wa ombi la zuio kutoka kwangu kwenda voda kuzuia muamala.*
Hawajanijibu mpaka saa hizi
Kutokana na hoja hizo hapo juu nimegundua yafuatayo:
Kwamba mtandao wa DILLAXCOM yawezekana ni mtandao halali bali kuna matapeli wamejipenyeza kuibia watu kwa njia ya mtandao. Maana najiuliza ni wakati gani activation code hutolewa? Baada ya malipo kuingia au kabla? Ilikuwaje malipo yaingie kwenye namba 0679630929 halafu yatolewe? Nani aliyatoa maana mimi sijapeleka ombi la kusitisha muamala. Na vodacom wamethibitisha pesa haijazuiwa upande wa vodacom.
Na kwanini namba za simu za hao wanaosema ni wamiliki wa dilaxcom hazipatikani?
Kwanini watamke masuala ya UJINGA wakati pesa yangu imepotea? Hapa kuna kitu kimejificha. Ni wizi mtandaoni....